TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Nahisi ilikuwa ni mwaka jana vile,,mkaka alikuwa anaomba hadi aelekezwe ni sumu ipi inaua upesi ili akanunue anywe afe,loooh!!! raia walikuwa wanamchamba balaa na kumuelekeza kabisa jinsi ya kujiua[emoji24]

Walivyosikia kajinyonga,wakaanza kujibaraguza humu,eti oooh kumbe kweli alikuwa anashida!!!,na kusikitika kinafiki tu[emoji41]

Msaada si lazima pesa,mawazo ni msaada mkubwa kuliko hata pesa.

Tuwe tunafariji,
Watu wabaya sana wanachukulia mambo kiwepesi mnooo!daahh!Huzuni sana
 
Alisikitisha sana huyo member, alikua anaitwa mpauko au miguu ya kuku....kaja mara kadhaa kuomba msaada hakupata, akaandika sijui anataka kujiua anaulizia sumu, comments zilizokua zinaandikwa daah [emoji22][emoji22], hatimae akajinyonga.
Aendelee kupumzika kwa amani.
Asehh!very sad for the loss..ndo najua Leo watu wabaya sana!halafu wabongo hatujui kua stress na depression ni magonjwa kama mengine na watu wanakufa kwa hayo
 
Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ni unalia huku unacheka jamani. Alijua kutuburudisha kwa namna yake jamani
 
Wanaosema ni character anazikwa ni mawazo mazuri pia
Ila ukiona inakupendeza unaweza ukafika msibani au ukakausha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom