Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I have friends humu wa faida sana!wanajijua wenyewe Mimi nawathamini sana.Safi Sana, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki
Watu wabaya sana wanachukulia mambo kiwepesi mnooo!daahh!Huzuni sanaNahisi ilikuwa ni mwaka jana vile,,mkaka alikuwa anaomba hadi aelekezwe ni sumu ipi inaua upesi ili akanunue anywe afe,loooh!!! raia walikuwa wanamchamba balaa na kumuelekeza kabisa jinsi ya kujiua[emoji24]
Walivyosikia kajinyonga,wakaanza kujibaraguza humu,eti oooh kumbe kweli alikuwa anashida!!!,na kusikitika kinafiki tu[emoji41]
Msaada si lazima pesa,mawazo ni msaada mkubwa kuliko hata pesa.
Tuwe tunafariji,
Asehh!very sad for the loss..ndo najua Leo watu wabaya sana!halafu wabongo hatujui kua stress na depression ni magonjwa kama mengine na watu wanakufa kwa hayoAlisikitisha sana huyo member, alikua anaitwa mpauko au miguu ya kuku....kaja mara kadhaa kuomba msaada hakupata, akaandika sijui anataka kujiua anaulizia sumu, comments zilizokua zinaandikwa daah [emoji22][emoji22], hatimae akajinyonga.
Aendelee kupumzika kwa amani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ni unalia huku unacheka jamani. Alijua kutuburudisha kwa namna yake jamaniKuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuaje?[emoji28]Ni mtu ambae umbea ulikua kwenye damu tu, unakumbuka alisema akiwa form two kuna umbea alimfanyia head master akafukuzwa shule [emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini warumi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Amefariki jana saa 4.
Figo figo figo imemuondoa binamu wetu.
Nikituma utafichaje identity yangu au nikufate pm