Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupita chama cha Demokrasia na Maendeleo Mohamed Mtoi kufarijika leo kwa ajali akitokea kwenye kampeni za Ubunge huko Lushoto. Ni kada wa CHADEMA wa muda mrefu sana, amejitoa kwa moyo wake wote kujenga chama. Hakika Kamanda katutoka akiwa bado ana nguvu nyingi za kulitumikia Taifa la Tanzania.
Nasema kuwa Mbele yako. Nyuma yetu kamanda.
R.I.P Kamanda Mtoi.
Wanajamii Forum na Watanzania tutauthanini mchango wako siku zote.