Kama nikweli nitasikitika kuliko
Mtoi huyu huyu kamanda afisa wa CDM makao makuu, Baba Mungu kama ni kazi ya mkono wako hakuna wakuhoji maamuzi yako ila kama kuna mkono wa mtu baada ya msiba huu tenda haki kwa nguvu zako
Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupita chama cha Demokrasia na Maendeleo Mohamed Mtoi kufarijika leo kwa ajali akitokea kwenye kampeni za Ubunge huko Lushoto. Ni kada wa CHADEMA wa muda mrefu sana, amejitoa kwa moyo wake wote kujenga chama. Hakika Kamanda katutoka akiwa bado ana nguvu nyingi za kulitumikia Taifa la Tanzania.
Nasema kuwa Mbele yako. Nyuma yetu kamanda.
R.I.P Kamanda Mtoi.
Wanajamii Forum na Watanzania tutauthanini mchango wako siku zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.