TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Inna Li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.

Inasikitisha sana, jana tu nimetoka kumuulizia humu JF. Nilikuwa sijamsikia siku nyingi.

Allah amsameh, amghufirie na amlaze pema peponi.

Wafiwa wote poleni sana tena sana na wana JF wenzetu poleni sana.

Inasikitisha sana.
 
Aisee,kuanzia leo sitacoment post yeyote ya ccm.....

Naichukia ccm
 
Huu ni msiba mkubwa sana hasa katika kipindi kwa kweli nimehuzunika sana. R. I. P kamanda Mohamed Mtoi
 
Ooooh my God, Mtoi amefariki!! Mungu wangu. Ehe mora please ipokee roho yake. Nimechoka.
 
OMG!!! Mohammed Mtoi??? uwiii siamini. Pumzika kwa amani mate.
 

Ficha upumbavu wako.
 

Una maneno ya shombo sana
 
Ooooh No....

Gone too soon Comrade...

Requiescat In Pace Mohamed Mtoi..
 
Jamaa kafariki kwenye ajali ya gari jion hii akitokea kwenye kampeni
 

Uwezo wako unaishia halo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…