Mwanadada anaefanya kazi melini anaeleza faida na changamoto anazopitia

Nanyi nendenei mkafanye hizo kazi alafu mje mtuletee mrejesho, siyo mnategemea za wengine, ooh dada akipata shida, oooh kumbe kuna visa.
 
Nilichogunduwa huyo baharia wa kike ni mwongo,
Kuna baadhi ya maneno anadanganya.,
Au pengine mleta mada kaongeza sukari na kuifanya iwe chai.

Amesema yupo kwenye meli ya abiria,
Tena yenye swimming pool
(cruise ship).

Swali langu ni yeye alikuwa ni mtu wa engine au deck?

Haiingii akilini kusema alikuwa anasafisha oil engine room,

Halafu tena anakwenda kwenye rooms za abiria kusafisha..

Hayo ni majukumu 2 tofauti.
Mtu wa engine huwezifanya kazi za watu wa deck.

Na deck seaman huwezifanya kazi za engine.

Alikuwa kwenye meli kubwa na ina Mabaharia waliokamilika na wanaojuwa majukumu yao..

Kazi ya kusafisha engine room ni kazi ya Oilers.

Kazi ya usafi wa meli ni Kwa ujumla ni deck AB./OS.
 
Kwa mara ya kwanza mleta mada umeleta mada bila picha na hii kwa kiasi kikubwa inakiuka misingi uliyojijengea humu jukwaani...... Tupia picha ya huyo mrembo na picha ya hiyo meli ili tuburudike kwa kuvuta hisia
 
Nilisoma kutoka kwenye gazeti, dada mmoja anasimulia changamoto anazopitia katika ajira yake kama mhudumu wa meli. Alianza kazi akiwa na miaka 22 na amedumu katika ajira hii kwa miaka 10.

Kazi inakupatia malazi na chakula bure. Siku unazolipa kodi ya nyumba ni siku ukiwa likizo. Anasema ameishi kwa miaka 10 bila kulipa kodi ya nyumba wala kununua chakula. Akiwa likizo ni rahisi kwake kukaa hotelini kuliko kuanza kutafuta nyumba.

Changamoto ya kwanza huyu mwanamke alieleza ni kushindwa kudumu kwenye mahusiano kwa muda mrefu. Huyo boyfriend atakae kusubiri mwaka mzima mpaka uwe likizo na awe na mipango endelevu na wewe ni shida kumpata.

Changamoto ya pili ni abiria wa kiume kutongoza hasa wakati wa usiku wanapotafuta mtu wa kuua nae usiku. Tatizo wengi ni waume wa watu na wanakueleza kabisa taja bei yako lakini no strings attached. Ukizingatia mkiwa baharini hawawezi kupiga simu wampate mdangaji.

Kuna kusafisha sehemu ya engine na kutoa mafuta machafu. Anasema hii kazi ukiifanya ukiwa Caribbean au Bahamas ni raha tupu. Usiombe uifanye wakati wa Kipupwe na meli iko Norway.

Moja ya majukumu ni kufanya usafi katika meli. Anasema kuna wanaoacha kinyesi kwenye swimming pool. Kusafisha vyumba vya wapenzi wa jinsia moja hasa wanaume ni shughuli nzito, unaweza kukuta kinyesi kutoka chumbani mpaka chooni na shuka zimejaa kinyesi.

Ameeleza haya kwakua anaacha kazi sasa ili aanze maisha ya familia.
Hivi binadamu, tuna akili timamu kweli kuchezea mavi? Yaani kabisa!!
 
Hakuna watu nisio wapenda hata kuwasikia kama wapenzi wa jinsia moja, yaani nikiliona lishoga natamani sana kama nilikate kichwa
 
Nilichogunduwa huyo baharia wa kike ni mwongo,
Kuna baadhi ya maneno anadanganya.,
Au pengine mleta mada kaongeza sukari na kuifanya iwe chai.

Amesema yupo kwenye meli ya abiria,
Tena yenye swimming pool
(cruise ship).

Swali langu ni yeye alikuwa ni mtu wa engine au deck?

Haiingii akilini kusema alikuwa anasafisha oil engine room,

Halafu tena anakwenda kwenye rooms za abiria kusafisha..

Hayo ni majukumu 2 tofauti.
Mtu wa engine huwezifanya kazi za watu wa deck.

Na deck seaman huwezifanya kazi za engine.

Alikuwa kwenye meli kubwa na ina Mabaharia waliokamilika na wanaojuwa majukumu yao..

Kazi ya kusafisha engine room ni kazi ya Oilers.

Kazi ya usafi wa meli ni Kwa ujumla ni deck AB.
Unamwonea Sky Eclat hawezi kudanganya wala kuweka chumvi naamini hilo ila msemaji ndolabda kaweka chumvi au hajaweka siwezi kujua maana kufanya majukumu mawili tofauti inategemeana na idadi ya wafanyakazi
 
Asante sana, mimi nimechukua maelezo yaliyotolewa na mengi sikujua kama yanafanyika humo kwenye meli. Ni kwakua wakati ninasoma sikuwa na mawazo ya kuleta hii mada, ninge copy na ku pest kwa reference.
 
Nilichogunduwa huyo baharia wa kike ni mwongo,
Kuna baadhi ya maneno anadanganya.,
Au pengine mleta mada kaongeza sukari na kuifanya iwe chai.

Amesema yupo kwenye meli ya abiria,
Tena yenye swimming pool
(cruise ship).

Swali langu ni yeye alikuwa ni mtu wa engine au deck?

Haiingii akilini kusema alikuwa anasafisha oil engine room,

Halafu tena anakwenda kwenye rooms za abiria kusafisha..

Hayo ni majukumu 2 tofauti.
Mtu wa engine huwezifanya kazi za watu wa deck.

Na deck seaman huwezifanya kazi za engine.

Alikuwa kwenye meli kubwa na ina Mabaharia waliokamilika na wanaojuwa majukumu yao..

Kazi ya kusafisha engine room ni kazi ya Oilers.

Kazi ya usafi wa meli ni Kwa ujumla ni deck AB.
Hata hiyo ya wapenzi wa jinsia moja kuacha vinyesi kila mahali

Hivi hakuna namna ya kuwadhibiti wafue wenyewe.

Yaani mimtu ichafue tu inavyopenda bila kuwa na masharti, hii haiwezekani kila mahali Kuna masharti yake.

Na hao wapenzi wanapata raha gani sasa? Wanaishije na kinyesi kila mahali.

Haya huko kwenye meli ni mwema wanapanda waume za watu tu? Hakuna singles?
 
Huyo dada amekuwa kama spana malaya, yaani yuko kote kote
 
Asante sana, mimi nimechukua maelezo yaliyotolewa na mengi sikujua kama yanafanyika humo kwenye meli. Ni kwakua wakati ninasoma sikuwa na mawazo ya kuleta hii mada, bunge copy na ku pest kwa reference.
Kama wewe ni mtu wa kawaida na hauhusiki na jinsia hiyo na yakiingia Kwa watoto wako utaandamana kuomba hiyo haki za binadamu ziondolewe
 
Hata hiyo ya wapenzi wa jinsia moja kuacha vinyesi kila mahali

Hivi hakuna namna ya kuwadhibiti wafue wenyewe.

Yaani mimtu ichafue tu inavyopenda bila kuwa na masharti, hii haiwezekani kila mahali Kuna masharti yake.

Na hao wapenzi wanapata raha gani sasa? Wanaishije na kinyesi kila mahali.

Haya huko kwenye meli ni mwema wanapanda waume za watu tu? Hakuna singles?
Hii ya wapenzi wa jinsia moja kuna dada alifanya kazi hotelini pia alinipa Hadith’s kama hii. Tena ukutane wale matajiri wamesha vuta cocaine wanaacha uchafu wa kila aina mpaka mikojo.
 
Hii ya wapenzi wa jinsia moja kuna dada alifanya kazi hotelini pia alinipa Hadith’s kama hii. Tena ukutane wale matajiri wamesha vuta cocaine wanacha uchafu wa kila aina mpaka mikojo.
Sasa Kuna raha gani ya kuwa Tajiri halafu unapumuliwa kisogoni au unamchutamisha mwanaume mwenzako na wakati una uwezo wa kuita pisi kali zilizotulia ukazitafuna vizuri tu
 
Hata hiyo ya wapenzi wa jinsia moja kuacha vinyesi kila mahali

Hivi hakuna namna ya kuwadhibiti wafue wenyewe.

Yaani mimtu ichafue tu inavyopenda bila kuwa na masharti, hii haiwezekani kila mahali Kuna masharti yake.

Na hao wapenzi wanapata raha gani sasa? Wanaishije na kinyesi kila mahali.

Haya huko kwenye meli ni mwema wanapanda waume za watu tu? Hakuna singles?
Nipo Iringa mjini mimi ninawashauri wale wanaopeleka Nguo kwa Dobi au kufuliwa kwenye mashine acheni kbsa kama unauwezo na laki 5 yako Nunua Mashine ya kufulia
Mashoga wengi sana nguo zao zinapelekwa huko na huo uchafu wanapeleka huko
Waulizeni Madobi kama unafanya Utafiti utajua Sana hilo
 
Back
Top Bottom