Huwez shusha rank kwa sabab ukiomba kazi lazima upeleke cv+vyeti na mwajir ukishampa cv+vyeti lazima atawasiliana na tasac+kukagua km ulichoweka ktk cv ni sahih.
Na ukipanda meli,tug au boti lazima discharge book yako igongwe muhur kulingana na levo yako ambayo ipo kwenye cv na sapot ya vyet.
Ila kuna baadh ya makampun yanampa baharia majukumu makubwa ingawaje ana levo ndogo.
Unaweza kuta oila anafanya majukumu ya chief engineer kwa sabab anayamudu huku kampun ikinufaika na chip leba.
Mkuu Mimi ni baharia nakueleza kulingana na experience.
Kwa hiyo kama captain kuna Kazi za chief officer hairuhusiwi kuomba?
Nimeshawahi kufanya kazi na captain akiwa ktk meli fulani,
Baadae akahamishwa meli nyingine akiwa kama chief officer..
Na mwingine alikuwa huku chief officer kwenye meli ingine akawa captain.
Mfano,
Unaweza ukawa AB ktk meli fulani
Lakini kwenye meli nyingine ukawa kama OS kulingana na position iliyopo..
AB ni experienced OS
Hapa kwetu Sheria nyingi za ubaharia hazifuatwi Sana,
Haifai kutolea Mfano Kwa Mambo ambayo hatuyafanyi Kwa ufasaha.
Pia unapoomba kazi unatuma CV zako through emails za kampuni,,
Ukiwa qualified ndy wana contact na wewe..
Nishafanya kazi na watu nje,
Wana COC za officer lakini wanafanya kama AB
Documents zitabaki ni officer lakini unafanya kazi Kwa position unayoiomba.
]Captain is a 1st command on board.
Chief officer is a 2nd command on deck crew onboard ..
Wote Wana documents zote zinazofanana.,
tofauti ni kwamba captain yeye amepata certificate ya kulfanya awe captain.
Chief officer akiwa na experience ya kazi ya mwaka 1 anaweza kuomba certificate ya kuwa captain.
Means hawa watu wana tofauti ya rank lakini majukumu yanayofanana,,
Captain in charge of all crew onboard and final command in ship.
Chief officer[/ is incharge of only deck crew on-board,
And all operations on deck..
Chief officer can take incharge when captain is off duty...
Kwahyo kama una qualify unaweza kuomba kama rank fulani,
,au ukaomba rank ya chini na ukafanya kazi bila wasiwasi.
Ukiwa meli za nje utaelewa vzr sn mkuu.
Sent using
Jamii Forums mobile app[/B]