Mwanadada anaefanya kazi melini anaeleza faida na changamoto anazopitia

Itakuwa mtumbwi huo.
 
Hii ya wapenzi wa jinsia moja kuna dada alifanya kazi hotelini pia alinipa Hadith’s kama hii. Tena ukutane wale matajiri wamesha vuta cocaine wanaacha uchafu wa kila aina mpaka mikojo.

Basi ibilisi kawakamata akili na kuwatesa sana.

Mtu tu akitoa ushuzi mnavyoshika pua na kukasirika.

Sasa ulale na kinyesi na mikojo usiku mzima, khaaa.
 
Kwa watu wa jinsia moja kinyesi Ni aphrodiasic. Ni Kama wewe unavyopata mzuka ukisikia kale ka harufu ka K, sio ile harufu ya papa, no. Harufu og ya K.
Sio Aphrodiasic Boss, ni Aphrodisiac
 
Huyu alikua AB ila kuna ile kujiongeza ili upate more money mdau
 
 
Unamwonea Sky Eclat hawezi kudanganya wala kuweka chumvi naamini hilo ila msemaji ndolabda kaweka chumvi au hajaweka siwezi kujua maana kufanya majukumu mawili tofauti inategemeana na idadi ya wafanyakazi
Mkuu kazi za ubaharia zina principles zake

AB
anafanya kazi zote za deck ktk meli..
--listen to radio
--Watch keeping.
--switch on/off lights
--mooring,
--sounding.
--Steering the wheel.
--cleaning toilets nk.
--Cleaning deck/crew cabins.
--Chipping deck /ship
--Painting deck /ship.

OILERS
Wao wanadeal na engine room na mitambo yote ya kwenye meli.
kazi za engine zinafanywa na watu wa engine.
Watching engine room
Kusafisha engine room
na kusafisha oil na kumwaga.
Repairs zozote za mashine,au umeme nk..

Hawaingiliani kimajukumu

Na order za watu wa engine wanapokea kwa chief engineer/2nd engineer.

Kazi za deck
orders zinatoka Kwa chief officer /2nd officer au captain..

Sasa Hilo suala la yeye kufanya kazi sio zake ,
order alipewa na nani?.

OILER wanasafisha cabin zao wenyewe,
Au meli kubwa kuna ROOM BOY
yeye ndy ana husika na kusafisha cabin za Mabaharia wote na kuwafulia Mabaharia.

Yeye alisafisha cabin za abiria akiwa kama Nani melini?[/I]
 
Duh Sawa nahodha
 
Meli ndogo ni oiler lkn meli kubwa ni wiper ndie msafishaj oiler anabak kuwa mbeba spana wa fundi
 
Labda anazungumzia mv aziza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…