National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Yani kuna watu wamemaliza mwendo vibaya sana, pisi kali zote hizi mtu unaenda kumfyonza mwanaume mwenzake ? daah! ebu wapitie hata uzi ule wa jf photo uzi wa warembo waoneSasa Kuna raha gani ya kuwa Tajiri halafu unapumuliwa kisogoni au unamchutamisha mwanaume mwenzako na wakati una uwezo wa kuita pisi kali zilizotulia ukazitafuna vizuri tu
Maelekezo ya waganga ili aendelee kuwa na maliSasa Kuna raha gani ya kuwa Tajiri halafu unapumuliwa kisogoni au unamchutamisha mwanaume mwenzako na wakati una uwezo wa kuita pisi kali zilizotulia ukazitafuna vizuri tu
Asante boss. Bila Shaka nawewe Ni Kati ya wale wanaume wachache ambao walikua na chupi isiyofuliwa ya girl friend wako ulipokua boarding school kwa ajili ya kuinusa tu.Sio Aphrodiasic Boss, ni Aphrodisiac
Mkuu elewa Jambo moja,Meli ndogo ni oiler lkn meli kubwa ni wiper ndie msafishaj oiler anabak kuwa mbeba spana wa fundi
Huwez shusha rank kwa sabab ukiomba kazi lazima upeleke cv+vyeti na mwajir ukishampa cv+vyeti lazima atawasiliana na tasac+kukagua km ulichoweka ktk cv ni sahih.Mkuu elewa Jambo moja,
Wiper
Ni mtu wa engine ambaye hana uzoefu.
engine room
Akiwa na experience ndy huitwa OILER..
OILER ni lazima asome engine watching keeping.
On deck
baharia ambaye ndy anaanza huitwa OS(Ordinary seaman)
Akiwa na experience na kusoma deck watch keeping ndy huitwa AB.
Able seaman
Kumbuka ktk ubaharia rank haibadiliki hata uwe kwenye meli ndogo kiasi gani.
Captain
Chief officer,
2nd office
3rd officer,
Chief engineer
2nd engineer
3rd engineer
AB
Bosun
OS
Wiper
Oiler
Steward
Room boy
Messi man
Chief cook.,
Rank hazibadiliki hata wawe kwenye boat ndogo kiasi gani.
Rank hubadilika kutokana na position unayoiomba ,,
haibadiliki sababu ya ukubwa wa meli husika.
Mfano Captain anaweza kuomba kazi kama chief officer na akafanya,
Lakini kitaaluma atabaki kuwa captain.
AB akaomba kazi kama OS.(ordinary seaman)
Lakini kitaaluma atabaki kuwa AB(able seaman).
Bosun anaweza kuomba kazi kama AB,au OS(ordinary seaman)
Chief engineer anaweza akaomba kazi kama 2nd /3rd engineer na akafanya ,,
lakini kitaaluma na documents zake zote zitawatambuwa kama Captain,au AB,au officer..
Mtu anashusha rank yake ili awe qualified na position husika apige pesa.
Mkuu Mimi ni baharia nakueleza kulingana na experience.Huwez shusha rank kwa sabab ukiomba kazi lazima upeleke cv+vyeti na mwajir ukishampa cv+vyeti lazima atawasiliana na tasac+kukagua km ulichoweka ktk cv ni sahih.
Na ukipanda meli,tug au boti lazima discharge book yako igongwe muhur kulingana na levo yako ambayo ipo kwenye cv na sapot ya vyet.
Ila kuna baadh ya makampun yanampa baharia majukumu makubwa ingawaje ana levo ndogo.
Unaweza kuta oila anafanya majukumu ya chief engineer kwa sabab anayamudu huku kampun ikinufaika na chip leba.
OILER hawezifanya majukumu ya chief engineer hata iweje.Huwez shusha rank kwa sabab ukiomba kazi lazima upeleke cv+vyeti na mwajir ukishampa cv+vyeti lazima atawasiliana na tasac+kukagua km ulichoweka ktk cv ni sahih.
Na ukipanda meli,tug au boti lazima discharge book yako igongwe muhur kulingana na levo yako ambayo ipo kwenye cv na sapot ya vyet.
Ila kuna baadh ya makampun yanampa baharia majukumu makubwa ingawaje ana levo ndogo.
Unaweza kuta oila anafanya majukumu ya chief engineer kwa sabab anayamudu huku kampun ikinufaika na chip leba.
Nilitegemea chief engineer anakuwa juu ya captain kirank. Maana chombo chote kinahusu engineering, wakati captain ni kuongoza chombo tu.OILER hawezifanya majukumu ya chief engineer hata iweje.
Chief engineer --
is incharge of entire engineering department.
OILER yeye ni baharia wa engine room department Tu,,
Kazi zake ni kufuta oil na watch keeping,na repairs ambazo hupokea maelekezo kutoka kwa chief engineer/ 2nd engineer.
OILER hawezi kutoa decision yeyote kwenye engineering department.'
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief engineer ni incharge engine room department.Nilitegemea chief engineer anakuwa juu ya captain kirank. Maana chombo chote kinahusu engineering, wakati captain ni kuongoza chombo tu.
Asante kwa ufafanuzi, so interesting!Chief engineer ni command engine room department.
Kama alivyo chief officer yeye ni incharge on deck na operations zote za meli.
Captain ni fainal say Kwa meli nzima.
Chief engineer/ chief officer wote wanariport Kwa captain.
Captain is a command of all crew onboard and final command .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Mashoga mashenzi yanalilia mhogo kumbe yanakunya. Ukiyakuta dawa kuyatwanga kinu cha kichwa..
Meli ya abiria ina mchanganyiko wa watu wa aina tofauti,Hata hiyo ya wapenzi wa jinsia moja kuacha vinyesi kila mahali
Hivi hakuna namna ya kuwadhibiti wafue wenyewe.
Yaani mimtu ichafue tu inavyopenda bila kuwa na masharti, hii haiwezekani kila mahali Kuna masharti yake.
Na hao wapenzi wanapata raha gani sasa? Wanaishije na kinyesi kila mahali.
Haya huko kwenye meli ni mwema wanapanda waume za watu tu? Hakuna singles?
Huwezi kusikia story kutoka Kwa wanaume Kwa sababu cruise ship ni hotel inayotembea, hata kwenye hotel za nchi kavu kama Kilimanjaro hotel hizo kazi za house keeping nyumbani zinafanywa na wanawake.ππππ nilicho gundua ni uwezo wa wanawake kuelezea matukio. Wanaume wameifanya hii kazi kwa miaka mingi lakini hatukuwahi kuyajua yaliyomo.