comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Pale ni kuenjoy tuu unaletaje stress tenaNinachopendea Walevi na wanywaji wakiwa kwenye burudani na starehe hawataki siasa wala mahubiri ya dini ππ
Ndo ipo madarakani Sasa; hutaki kapigwe tone Malaya washibe ulaya!!Hawa sijui wanawaza nini asee hakuna mtu kwenye Akili timamu anaweza kua na hamu ya kusikia serikali hii ya Ki ...Senge
Sasa wewe ***** unabisha nini sasa? Hadi video ya kuzomewa huyo chawa mwenzio imewekwa, unabisha nini sasa?Muongo ww π
Midada yenyewe imeshalewa wahuni wahuni tu
Mijitu km ile yanini kuongea nao unapoteza muda tu. Ndiomana kaachana nao walevi waleπ
FA ameenda kulia chooni πMwana FA kaondoka jukwaani bila kuaga
ππFA ameenda kulia chooni π
Naona umeshikwa pabaya,Muongo ww π
Midada yenyewe imeshalewa wahuni wahuni tu
Mijitu km ile yanini kuongea nao unapoteza muda tu. Ndiomana kaachana nao walevi waleπ
Kwa hiyo ikiwepo madarakani ndio nini? Kuwepo madarakani inahusiana na nini na kuzomewa mwana FA?Ndo ipo madarakani Sasa; hutaki kapigwe tone Malaya washibe ulaya!!
π€£π€£π€£π€£π€£ umenifanya nionekane mwehu Na usiku huuFA ameenda kulia chooni π
Mama alishaanda simu aende hewani, simu imepata dhoruba πHaiishi mpaka iishe.
Ukiita watu huru bila kuwapanga machawa mbele Εazima mambo kama haya yakukute.
Haamini macho yake ππ€£π€£π€£π€£π€£ umenifanya nionekane mwehu Na usiku huu
Nyie c mshazoea wabana pua na wenzako mnaopumuliwa visogoni, hip hop Huwez kuelewa.Watu gani ndio wale walevi π€£
wale wapo hoi kwa pombe βοΈ
Mapopo tu
Ya mjini
Siku Arena ikifnguliwa yenyewe ayo ndio yatajaaa na kumsifia Rais Samiaπͺ
sisi tunawajua Mapopo wa mjini π
Acha kabisa πππ anatamani kurudisha muda nyuma ndiyo imeenda hiyooHaamini macho yake π
Akajipange Tena, aje msimu ujao wa miaka 31 πAcha kabisa πππ anatamani kurudisha muda nyuma ndiyo imeenda hiyoo
FA ameenda kulia chooni π
Ww ndezi tuuWapiii wwπ€£ wale Popo wa mjini wamelewa tayali
Tatizo lilianzia apo!! Lkn Nwana FA kaelewa!!
Akaona poaa ngoja niwape Show wakatulia wote wanamshangalia yeyeβοΈ
Hatari sana ππAkajipange Tena, aje msimu ujao wa miaka 31 π