Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

😀😀 usikute dogo alienda kukalia, halafu amesumbua watu kinoma !! Mpaka hapo huyo dogo kuna vitu vingi anajua maana hii misheni sio ya mtoto mzembe mzembe !!
Waongee nae kwa upole ,
Halafu viongozi wetu bhana hizi mishe ndogo za hivi wapo makamanda mikoani huko wanatosha !!
Eti mpaka Waziri mkuu nae anatoa waraka 😀😀😀 halafu mtoto anakutwa kwa watu huko tena mkoa huo huo !!
Mambo makubwa makubwa ya upotevu wa Pesa wanainamisha vichwa ! Sema dogo nae kaweka historia " mimi niliwahi tafutwa hadi na waziri mkuu" mnajiaibisha
Kaukalia nn MJUBA?
 
Since day moko nilivyopata hii habari nikauliza umri wa bint nilivyoambiwa ni 19yrs halmashauri ya ubongo wangu ikaconclude huyu yupo mahali kafungiwa anafanya mchezo mbaya.
Nasisitiza wasisahau kumpima mimba.
 
Mwamba aliyekua kamteka dogo aanze kusepa la sivyo miaka 30 kuna miaka 10 kusababisha taharuki na miaka 10 ya kumsumbua waziri mkuu !! Kiufupi huu ni Uhaini 😀😀
 
Back
Top Bottom