Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) atuhumiwa kumuua Mwanafunzi mwenzake

Issue kwa undani utaikuta ni mambo tu ya Delilah
 
Nawahurumia wazazi wa wote wawili, mmoja mwanae jela mwingine kaburini, simanzi kubwa.
Mkuu we acha tu tu-comment tu hapa Jf just imagine we ndo mzazi wa kati ya hawa vijana wawili..... Tuacheni utani shetani ni msenge sana..🀑🀑
 
Dah aiseee marehemu hata robo karne hajafikisha halafu watu kama hawa wanakuwa wameshika pesa wakiwa wadogo sana aisee.
 
Mkuu we acha tu tu-comment tu hapa Jf just imagine we ndo mzazi wa kati ya hawa vijana wawili..... Tuacheni utani shetani ni msng sana..
Ni kweli mkuu, wanasema "yasikie tu kwa mwingine ila omba yasikukute".
 
Naona alichokifuata chuo sicho , amessahau majukum yake
 
Magonjwa ya akili yanazidi kuongezeka. Tuongeze sala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…