Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Ujumbe mzuri ni hao askari wa Rwanda mkuu!ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Eti wenye sura kama wanyarwandwa mbona nilikuwepo sijaona hao wanyarwanda au yale ma tinted ndo yamekushtua[emoji23][emoji23]Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
IsingetokaWekamo na kapicha basi
Kuwa CCM haimaanishi kuwa ukikosea usiadhibiwe; kutii sheria ni kwa kila mtuWe bwabwaja kuna mwenzako alichezea hpo
Anakula kibano anabakia ksema mm chichiem mm chichiem
Ova
Utumwa wa fikra ndio umekufanya kuhukumu, yaani kwako wewe mtu akikosea njia akaingia jeshini tena hana hata silaha ya fimbo unaona sawa tu kupigwa kisa jeshini.Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
weeee angekua muhimbili sasa hivi....Wekamo na kapicha basi
Wajeda wengi ni failures, samahani tu kwao lakini hawana reasoning wale watu.Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Kipara, utawalaza njaa wategemezi wako Mkuu, haya maswala yako ya kuchanganya ID then unakuja kulialia simu ametumia mtu mwingine yametuchoshaaa.ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
wanajeshi ktk shughuli zao wapige picha alafu wakikukataza waambie mbona hamkuandika marufuku kupiga picha?Mkuu kuna maandishi yeyote hapo yanayokataza kupiga picha eneo hilo?
Hawa dawa yao inachemka.Nasubiria mzigo wa Anthrax tu ndi utawashikisha adabu na huo unyarwanda wao.Ikulu yetu halafu tusipige picha.Wakamlinde PahuloImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Unatuambiaje sasa mkamtoe mbowe kwanza mengine yafateNdio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Hapo hapo ushatiliwa ngumu katika MAFAO YAKO. Uliowachagua wakakuwakilishe BUNGENI ndo hivo tena wanaleta TAARABU kulinda Ugali wao.
Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]
Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.
Ni afadhali hata angepelekwa polisi kwa kosa hilo, kuliko kuchukua SHERIA MKONONI.
Au labda sheria inawapa ruhusa hio ya kupiga raia hao jamaa???? Japo sijawahi kuona sheria ya hivyo maishani.
Walahi siamini kama niwewe ndio umeandika hivi !!!Pole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..
Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?
Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?
Nakumbuka kuna wageni waliofika wa juu juu walirekodiwa sana..
Imekuuma kapige na wwHakuna maandishi yeyote kabisa nimeshangaa a
Nenda kesho kapige pichaPole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..
Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?
Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?
Nakumbuka kuna wageni waliofika wa juu juu walirekodiwa sana..