TANZIA Mwanafunzi wa mwaka wa Pili wa Chuo cha Misitu auawa kikatili

Alikuja ipata au?? Malizia bas story
Kuna sista mmoja mwanajeshi nae walimpiga hivyohivyo, kaamka saa kumi IST ipo kuamka asubuhi kaenda kuoga kajipodoa kala gwanda ile atoke nje kweupe, mbona alirukwa wazimu, akaanza kusema "ilikuwa hapahapa jamani×11"
 
Weka picha Kama pisi Kali basi wivu wa mapenzi jama wame mpiga pindo mabinti kwenye sikuku wanadata na miluzi ya wahuni
 
Wadogo zetu tulieni... mambo yote mazuri yanakuja baada ya Kumaliza mapambano.
Malizeni kwanza mapambano yaliyoko mbele yenu.
Hasara kote kote wauaji na kwa Mfiwa.
 
Mtungo ni nini best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…