Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
We jamaa bana! Yaani akifanya kosa akikamatwa ni udikteta. Umesahau kuna sheria ya makosa ya mtandao?Huyo malaika alijisahau kuwa anaishi kwenye nchi ya kidikteta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa bana! Yaani akifanya kosa akikamatwa ni udikteta. Umesahau kuna sheria ya makosa ya mtandao?Huyo malaika alijisahau kuwa anaishi kwenye nchi ya kidikteta!
Hajalazimisha kwamba takwimu alozotoa kipindi anachati wasapu nduo za kweli.Ndiyo; kwa mtazamo wangu. Kwa nini unadhania takwimu za mtu binafsi ndizo za kweli ambapo waziri anayepewa takwimu kutoka pembe zote za nchi takwimu zake ziwe si sahihi? Simple logic.
Si wanasema whatsp iko safe sasa wamejuaje details za mtumiaji mpaka kujua alipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamsamehe tu,hii sheria huko mbeleni inabidi wake waifute,Uhuru wa kutoa maoni Hapa unakiukwa,kila mtu anajua takwimu rasmi Ni zipi na kila mtu anafuatilia taarifa rasmi kwa umakini Sana,
Kwenye group Kuna wachomaji.
...wanawafowadia Wahusika details zote na unadakwa Kama kuku wa mdondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa kutoa maoni upo; lakini una mipaka yake. Siyo kwamba unaweza kusema cho chote tu hata kama kinaleta taharuki kwenye jamii. Ndiyo maana hata Marekani mnayoisifia kuwa na uhuru wa kusema, mpaka leo inamfuatilia mtu wa wikileaks;Wamsamehe tu,hii sheria huko mbeleni inabidi wake waifute,Uhuru wa kutoa maoni Hapa unakiukwa,kila mtu anajua takwimu rasmi Ni zipi na kila mtu anafuatilia taarifa rasmi kwa umakini Sana,
Wanalinganisha na taarifa ya waziri w vp!!?Taarifa sahihi ni ipi? Askari wamejuaje kuwa hio taarifa sio sahihi? Je, ilileta madhara gani kwa jamii?
Kachomwa huyo na one of the group members, magroup haya hasa ya shule yana watu wa aina ile ile tuliosoma nao mashuleni (spies), ila sasa hivi wameadvanceSi wanasema whatsp iko safe sasa wamejuaje details za mtumiaji mpaka kujua alipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mi siondoki ng'o!kweli Tz sirudi
Taarifa sahihi ni zile zinazotolewa na serikali kupitia kwa waziri wa afya ummy mwalimu na si vinginevyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maoni SI lazima mtu akitaka kutoa yapelekwe kwanza shirika la viwango,yakathibitishwe,maoni mtu hutoa tu,tofautisha kutoa maoni na kutoa taarifa rasmiKwa ametoa maoni, au ametoa takwimu za uongo. Ni kweli hujui maana ya maoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lako lipo sawa kabisaMaswali ya kitoto hayo. Taarifa sahihi ni zile zinazotolewa na waziri mhusika. Askari wamejua kuwa taarifa za mtuhumiwa sio sahihi kwa kuwa ni tofauti na taarifa ya waziri ambaye anaarifiwa kutoka pembe zote za nchi na baada ya kujumlisha takwimu hizo ndipo anatangaza. Huyu mtu binafsi amepata wapi takwimu zake? Swali la mwisho kwamba taarifa ya mtuhumiwa imeleta madhara gani ni la kipuuzi mno na halihitaji hata kujibiwa.