Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

kwann mtoto Wa mnyama akizaliwa tu anaanza kutembea tofauti Wa binadamu?

Binadamu na wanyama wengine wanatofautiana ukuaji katika nadharia ya k-strategist and r-strategists yaaani binadamu ni k wanazaliwa hawajiwezi au precocial youngs (mtoto anahitaji muda mrefu kupata malezi) huku wanyama wengi wakiwa r (wanazaliwa wanajiweza hivyo hakuna haja kuwa na muda mrefu kupata malez) kingine ni virutubisho vya ukuaji kutofautiana baina ya wanyama!

Huku hali ya mazingira mfano kuwindwa au predation ikichangia wanyama wengi kutembea mapema! Mfano katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti nyumbu jike kabla hajazaa atatafuta sehemu salama na atakapomzaa itamlazimu mtoto kuamka baada ya dakika 15 na kujifunza mwendo ili akabiliane na changamoto za mbugani!
 

Hapo kwenye VxH=vxh umeniacha kidogo
 
Factorize :
(a) 6x2 -11xy -10y2
(b) am+3bn-an+3bm

am-an +3bn+3bm
=a(m-n)+3b(n+m)
.'.=a(m-n)+ 3b(n+m) anser

Mh! niki let value ili nihakiki linakataa, hii nouma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…