Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Naomba Kuuliza Wanao Ifahamu Shule Ya Iwawa Sec School ,shule Hii N Ya Mixture Au? Na Mazngra Yake Yako Vp?
Msaada Wadau.
 
We baba D kilichokufanya uulize kitu unachokijua ninini?sifa za kijinga,ndo mana watanzania hatuendelei sasa get da picture kundi hili tu kunakichwa kimoja kama baba D taifazima litakua na wanaume wabovu wangapi?hovyo kabisa
 
Naomba kuuliza ni nchi gan ilikuwa anawafadhili wanamgambo was Cambodia wakikomunisti?
 
Kwa bookeeping na commerce form 1-6 nitajibu. Accounting profesional from diploma upto 1st bachelor tutapeana mawazo/maoni/discusion n.k.

topic ya HIRE PURCHASE form six ..............naomba unifundishe yote
 
katika dunia ya leo ya habari(information age) fedha ni muhimu sana, je ni kwanini mfumo wetu wa elimu hautoi fursa kwa wanafunzi kujua mfumo na tabia ya fedha katika dunia na uchumi wa kibepari(capitalism) ili kuzalisha watu huru(wanaojiajiri) badala yake mfumo wa elimu unatengeneza watu wanaotegemea kuajiriwa??????
NAOMBENI WATU WALIO KWENYE SEKTA YA ELIMU WANIPE MAWAZO KTK HILI
kwa ufupi hakuna nchi yoyote inayoundisha watu darasani mojakwamoja wakajiajiri.bali wanaweka mazingira mazuri na kupanua huduma ya elimu. dhumuni la elimu ya dunia ni kutaka kuzalisha LABOUR force ambayo ni skilled,at the end of the day kwenda kufanya kazi kwa bei chee.

waliotoka kwenye mfumo huo ni wale ambao wamepata elimu ya ziada(INFORMAL). only formal education leads to job seakers to increase
MAONI.
 
ebhu apply eco yako ktk real world. Nini mtazamo wako ktk hili? Sasa tunajua tz kuna initial rise of price ya bidhaa kadhaa kutokana na kudondoka kwa tshs na pia kodi ya fuels kuongezeka ni dhahiri bei itapanda zaidi hasa bei ya bidhaa zenye uhusiano na fuels ila hofu kubwa ktk soko la dunia fuels zipo chini na itakuwa hatari ktk uchumi wa taifa endapo zitapanda+ ongezeko la kodi
nini ushauri wako kwa wafanyabiashara najua hoarding ni hatari, pia kusave bank ni shida, kununua asset kuna asset nyingine haziuziki kwa wakati unaohitaji, kukopesha pia ni balaa labda kukopa n.k
Je hakuta kuwa na risk kubwa wananchi kufanya hoarding ya fedha za kigeni?
Kwa mtazamo wangu risk ni kubwa itakayo pata uchumi wanchi.
kwanza kumbuka kudondka kwa shilingi (devaluation) kuna saidia ku discourage impoort .hivyo import kuwa bei kubwa na export kuwa na gain kubwa . but when demand for foreign currency increases is leads to more devaluation. watu watademand sana dollar na hivyo itazidi kupanda kwa sababu wengne wanazificha ili waje kuziuza kwa bei kubwa.

watu wakihold sana foreign currency or money it means devaluation will increase and demand or dollar will be high,all imported goods will rise in price.
Juzi tu hapa watu walihodl sana feza za kigeni kilichosababisha shilingi kushuka sana. lengo lao ni kupata faida kwenye dola, hatimaye serikali iligundua hili na kukopa dola 250 mil kuingiza kwenye mzunguko,hatimaye wafanyabiashara wakaogopa na kuziachia,at 3 days dola ilushuka had 1700 na.
rish kubwa zaidi watu wakihold sana dollar au fedha za kigeni wanakuwa na uwezo mkubwa wa KUIPORT.

UNAPO IMPORT BIDHAA UNATENGENEZA AJIRA KWA NCHI ULIYONUNUA BIDHAA. pia mda huo huo serikali inaingia hasara kutokana na exchange rates. pia hasara nyinyine kwenye balance of payment defficit, kwahiyo risk ni kubwa kwa mtazamo wangu.
 
kwa wachumi tafadhali!

Nini athari za safari za rais wa Tanzania katika uchumi wa nchi?
athari zipo pande mbili.
negative na positive.
positive.
1. raisi anaenda kukutana na wadau wa maendeleo na kupata misaada.
2. raisi anaenda badilishana mawazo na kuchukuwa uzoefu mkubwa ambao una tija. mfano kutembelea manesho ya biashara
3. anaenda kuwashawishi wawekezaji kuja nchini na kuwekezasehemu mbaz sisi kuziwekezani vigumu
negative.
1. muda mwingine gharama zinakuwa kubwa na budget inalika
2. saari zisizo na lazma zinaweza jitkeza
3.picha mbaya kwa wananchi.


safari kwa ujumla zimepelekea kuja wawekezaji wengi mf. mlimani city,kigamboni new ity, rapid transit, na mengine mengi .hadi sasa Foreign Direct Investment imekuwa sana. na pia secta ya madini tu kwa miaka 3 imekuwa kwa kasi.
 
Wadau nisaidie kujibu hili swali
The system of administration of public services in Tanzania is folded in such a way that there is no clear legal frame work that provide for specific organs which deal with the welfare of public servants in Tanzania.

Critically examine the validit of this statement.
 
Physics expert nipo hapa kwahiyo kama kuna tatizo tutasaidiana tuu na kujadiliana kwa pamoja
Eng.Moody
 
Back
Top Bottom