Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona huyu Ngurumo anataka kuchukua nafasi ya yule bint aliwatikisa jamaa zetu kupitia instagram hadi akasababisha makamanda kuandamana ila ameufyata baada ya kupigwa mkwara ya kwamba akiendelea na fujo bhas jamaa zetu wangeachia picha za tukio lililomfanya baba yake ajiue....sasa hivi page hata kutembelea inabidi uwe peke yako maana ni vichupi tuu ndivyo anavyo post....
hata insta yupo sana tu - huwaga anarusha madongo moja moja.Yule nahisi alipewa hela ndefu kuuza ile page yake ya insta, ila bado yuko facebook anarushia rushia kwa mbaali lakini siyo kama zamani
Nasikia kabla ya kuzingirwa Nyumba yake simu zake zote zilifungwa, baadae alivyopiga simu Vodacom kuuliza akaambiwa ni maagizo ya TCRA.
Copy ana paste from Rwanda . uwa baba uwa . endelea kuteka na kuua kama mnaua ndeziAnsbert Ngurumo alikuwa ni mmoja wa chanzo cha taarifa za awali kabisa cha kutekwa kwa Leopold Lwajabe (rip). Mimi nillipuzia nikidhani ni zile siasa tulizozizoea.
Nadhani sasa imefika pahala yatupasa tuanze kuzipa uzito hizi tips za huyu jamaa (Ansbert Ngurumo) kwa kweli ili taarifa ziwe zinasambaa mapema wananchi tupone.
=====
Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia.
Erick Kabendera, a Tanzanian journalist, has been abducted from his home in Mbweni, Dar es Salaam. He told one of his colleagues of a high presence of security vehicle and unknown people around his house shortly before he disappeared to never be reached by phone this evening.
Subhan Allah,Hao wote waliofanya misheni iyo mpaka wauwaji wote wakumbuke Allah nae atawaadhibu kama wanavoadhibu wenzao waelewe ivyo,Nasikia kabla ya kuzingirwa Nyumba yake simu zake zote zilifungwa, baadae alivyopiga simu Vodacom kuuliza akaambiwa ni maagizo ya TCRA.
..lakini huku bado kina Pengo, mufti, Malasusa, nk wanaendelea kuwapigia makofi hawa watu!Copy ana paste from Rwanda . uwa baba uwa . endelea kuteka na kuua kama mnaua ndezi
Kwenye nyumba yake anaishi peke yake ? Kama alitumia simu ya mkewe au mwanae ?kama walifunga simu zake zote alipigaje Voda? kaazi kwelikweli
WanajulikanaHawajulikani na Vodacom walifunga simu zake kwa maagizo toka TCRA ?
Picha yake hii hapo chinGazeti la mwananchi jioni ya leo hii limedai mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera ametekwa nyumbani kwake mbweni.
Tutaendelea kuwajuza