Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
So far limefikiwa wapi kuhusu hizo kazi?
Tuliachie Jeshi la Polisi lifanye kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliachie Jeshi la Polisi lifanye kazi
Kinachonishangaza ni kua wale jirani zetu wanatumia mfumo kama huo.
Nina Iman na Uimara wa majeshi yetu, haiwezekani watu wasiojulikana hawajajulikana mpka leo.
"If you can't defeat them, join them"
Au ndio wamewajoini?
Alishapewa chake huyo.!Naona huyu Ngurumo anataka kuchukua nafasi ya yule bint aliwatikisa jamaa zetu kupitia instagram hadi akasababisha makamanda kuandamana ila ameufyata baada ya kupigwa mkwara ya kwamba akiendelea na fujo bhas jamaa zetu wangeachia picha za tukio lililomfanya baba yake ajiue....sasa hivi page hata kutembelea inabidi uwe peke yako maana ni vichupi tuu ndivyo anavyo post....
Nasikia kabla ya kuzingirwa Nyumba yake simu zake zote zilifungwa, baadae alivyopiga simu Vodacom kuuliza akaambiwa ni maagizo toka Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA.
Kabendera alikuwa mwandishi wa habari za uchunguzi kwenye magazeti mbalimbali pamoja na gazeti la Africa Confidential linalochapishwa nchini Uingereza.
ndiyo maana walikuwa wanatumia nguvu nyingi watu wasajili laini ili waweze kuwathibiti vizuri
Alikuwa anaandika habari zipi hizo za uchunguzi ?! Hizi habari tuzizoea kutoka mataifa ya kidikteta, lakini sasa Tz hatuko nyuma nadhani tunaongozaAnsbert Ngurumo alikuwa ni mmoja wa chanzo cha taarifa za awali kabisa cha kutekwa kwa Leopold Lwajabe (rip). Mimi nillipuzia nikidhani ni zile siasa tulizozizoea.
Nadhani sasa imefika pahala yatupasa tuanze kuzipa uzito hizi tips za huyu jamaa (Ansbert Ngurumo) kwa kweli ili taarifa ziwe zinasambaa mapema wananchi tupone.
=====
Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia.
Namba ya gari iliyomchukua imetajwa ni T746DFS.
View attachment 1166543
Erick Kabendera, a Tanzanian journalist, has been abducted from his home in Mbweni, Dar es Salaam. He told one of his colleagues of a high presence of security vehicle and unknown people around his house shortly before he disappeared to never be reached by phone this evening.
Hii ni hatari saana.
Pigeni kelele huyo mwandishi Erick Kabendela arudishwe salama.
Hiyo ni PK Rwanda style!!
Polisi Gan hao? Unausingiz mzitoTuliachie Jeshi la Polisi lifanye kazi
Itafahamika tu wanaomzunguka hatuwajui wote!
Hivi hao wasiojulikana wanadhani hawatakufa waoze hata wawatese watu hivyo.
Kila jambo lina mwisho wake.
PoliCCMPolisi Gan hao? Unausingiz mzito
Je, ana uhusiano na yule Kabendera wa zamani aliyezamishwa ziwa victoria miaka ileeee?Nasikia kabla ya kuzingirwa Nyumba yake simu zake zote zilifungwa, baadae alivyopiga simu Vodacom kuuliza akaambiwa ni maagizo toka Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA.
Kabendera ni mwandishi wa habari za uchunguzi kwenye magazeti mbalimbali pamoja na gazeti la Africa Confidential linalochapishwa nchini Uingereza.
Kumbe ni polisi!uache kihere here cha kupost unconfirmed.newsBaada ya watu hao kuzingira nyumba huku wakionekana kuwa na nia ovu, yeye na familia walifunga milango. Wananchi akiwemo M/kiti wa mtaa walipofika na kuhoji wao ni nani walisema wao ni polisi (hawakuwa na sare wala gari za polisi). Sasa wamekwenda naye kituo cha Polisi Oysterbay.