Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

H
Vodacom Siyo Mtandao huu
Mkuu hilo swala lipo kwenye sheria zetu kuwa serikali inauwezo wa kuomba mawasiliano yoyote yale ya mwananchi iwe sms ama sauti kama yatahatarisha amani ya nchi.

Na unaambiwa Tanzania ndio nchi inayoongoza Afrika kufuatilia wananchi wake kwenda mawasiliano.

Tatizo sio Vodacom ni sheria zetu....
 
Kashepewa umarufu usio wa lazima, we have very weak think tank behind decision makers, hapa nawalaumu TISSS moja kwa moja. Ipo namna nyingine na sio huu upuuzi unaopewa nafasi kwa kasi.
 
Musiba yuko kazini atakuwa anacheka mpaka gego la mwisho linaonekana.
 
Ansbert Ngurumo alikuwa ni mmoja wa chanzo cha taarifa za awali kabisa cha kutekwa kwa Leopold Lwajabe (rip). Mimi nillipuzia nikidhani ni zile siasa tulizozizoea.

Nadhani sasa imefika pahala yatupasa tuanze kuzipa uzito hizi tips za huyu jamaa (Ansbert Ngurumo) kwa kweli ili taarifa ziwe zinasambaa mapema wananchi tupone.

=====

Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia.

Namba ya gari iliyomchukua imetajwa ni T746DFS.
View attachment 1166543
Erick Kabendera, a Tanzanian journalist, has been abducted from his home in Mbweni, Dar es Salaam. He told one of his colleagues of a high presence of security vehicle and unknown people around his house shortly before he disappeared to never be reached by phone this evening.

UPDATES:

Baada ya watu hao kuzingira nyumba huku wakionekana kuwa na nia ovu, yeye na familia walifunga milango. Wananchi akiwemo M/kiti wa mtaa walipofika na kuhoji wao ni nani walisema wao ni polisi (hawakuwa na sare wala gari za polisi). Sasa wamekwenda naye kituo cha Polisi Oysterbay.

UPDATES:2100HRS

Jeshi la Polisi linaendelea kumhoji Kabendera kuhusu mambo ambayo hayajawekwa wazi.
HII JAMBO NDILO LINAFANYIKA HAPO RWANDA NA UGANDA, na ukiona sasa imefika hapa kwetu ni wakati sasa kujihami na kupambana na huyu adui wa awamu ya 5,
 
Back
Top Bottom