Isije kuwa matatizo ya kupumua... RIP , chukua tahadhali kila mmoja wetu. Mwenyewe kajificha huko vchakani, sisis tunaambiwa tuombe! Sky Eclatbaada ya kuugua kwa muda mfupi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije kuwa matatizo ya kupumua... RIP , chukua tahadhali kila mmoja wetu. Mwenyewe kajificha huko vchakani, sisis tunaambiwa tuombe! Sky Eclatbaada ya kuugua kwa muda mfupi
Niliuliza sijapata jibu, kama ninatumia US$100 kupima COVID, nikikutwa Niko positive nitahudumiwa hospitali kama mgonjwa wa COVID?Isije kuwa matatizo ya kupumua... RIP , chukua tahadhali kila mmoja wetu. Mwenyewe kajificha huko vchakani, sisis tunaambiwa tuombe! Sky Eclat
nasikia wameamriwa kila kipimo to read negative! Hivyo forget about positive results!Niliuliza sijapata jibu, kama ninatumia US$100 kupima COVID, nikikutwa Niko positive nitahudumiwa hospitali kama mgonjwa wa COVID?
Wameugua muda mfupiNini zaidi?
😂😂😂 sasa wanaokwenda nje ya nchi wakipimwa on their arrival!nasikia wameamriwa kila kipimo to read negative! Hivyo forget about positive results!
Ndio kuumbuka kwa tanzania mbele ya macho ya dunia!😂😂😂 sasa wanaokwenda nje ya nchi wakipimwa on their arrival!
Umeeleza habari kienyeji sana
Wapumzike kwa amani
Hii miili iko vulnerable to covid-19 virus attack. Tuwe makini na uongo wa Jiwe, vaa barakoa, social ditancing and all other measures as stipulated by WHO
Sasa watazikanaje?Ukisikia marafiki wa kufa na kuzikana, ndio hawa sasa. R.I.P
Embu fafanua Mkuu
![]()
Why COVID-19 is more deadly in people with obesity—even if they're young
“The stickiest blood I’ve ever seen” and other weight-related factors worsen the coronavirus diseasewww.sciencemag.org
Ukitaka google zaidi for more detailed information
Corona inaua kimya kimya ewe mtanzania usishupaze shingo anza kuvaa barakoa kuanzia sasa
Hii miili iko vulnerable to covid-19 virus attack. Tuwe makini na uongo wa Jiwe, vaa barakoa, social ditancing and all other measures as stipulated by WHO
Sasa watazikanaje?
Hawa waliambukizana kovidi
Deportivo [emoji468][emoji468][emoji468]Salaam Wakuu,
View attachment 1677753
John Dotto na Mwanahabari Raphael Waryana mwenye fulana ya blue. Wamepoteza Uhai. Waryana aliyekuwa mtumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni na kiongozi mwandamizi wa timu ya KMC. Alikuwa mwanahabari wa Radio one akiripoti zaidi vipindi vya Nipashe na Mambo Mseto.
Wawili hawa na Marafiki, Wote wawili wamefariki Muhimbili jijini Dar Es Salaam na wawili hawa hakuna anaejua kama mwenzake amefariki.
Dotto alikuwa Mwandishi, Mjasiriamali na Mwanasiasa
Wapumzike mahali pema. Amen!
====
KIONGOZI MWANDAMIZI WA KMC FC AFARIKI DUNIA
Kiongozi Mwandamizi wa Timu ya KMC FC ndugu, Raphael Waryana amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi
Ndugu Waryana atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa ambao alikuwa akiutoa katika Timu ya KMC FC ikiwa ni pamoja na ushirikiano wake katika kipindi ambacho Timu ilipokuwa ikitimiza majukumu yake.
Aidha uongozi umeshtushwa na taarifa hiyo na kuahidi kuendelea kuuenzi mchango wake mkubwa aliokuwa anautoa kwa Timu wakati wa uhai wake.
Uongozi unatoa pole kwa familia yake, mashabiki wa Timu ya KMC FC na Umma wa wanamichezo na kuwaomba wawe na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wetu.
Imetolewa na Christina Mwagala
Afisa Habari na Mahusiano wa Timu ya KMC FC