TANZIA Mwanahabari Raphael Waryana na Rafikiye John Dotto wafariki Dunia Muhimbili

TANZIA Mwanahabari Raphael Waryana na Rafikiye John Dotto wafariki Dunia Muhimbili

Brazaaaaaa, hakuna anayejua mwenzie kafariki? Aiseee.. Mhubiri 9:5
Lakini maandiko hayo ni kama yanasapoti alichoandika braza, ni kama vile umemuongezea silaha ya kutetea alichoandika
 
Vifo ni vingi sana sasahivi

Kuna kitu hakiko sawa - Askofu Bagonza

 
Duu! Pole nyingi kwa Familia, ndugu na jamaa wa marehemu! Mwenyezi Mungu azipumzishe Roho zao pahala pema peponi, Amen!
 
Yaani sasa hivi habari za vifo hata haishtui tena maana kila kukicha unasikia mtu unayemfahamu ametangulia. Jamani Mungu tusaidie.
 
Nje ya mada kidogo...
Hivi RIP mbona imekuwa na nguvu kuliko hata Bwana ametoa Bwana ametwaa ambayo ndiyo sahihi kabisa kwenye mafundisho

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Niliuliza sijapata jibu, kama ninatumia US$100 kupima COVID, nikikutwa Niko positive nitahudumiwa hospitali kama mgonjwa wa COVID?
Hiyo $100 wanapima kwa wanaotaka kusafiri
Nje ya nchi

Ova
 
Back
Top Bottom