Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Hawa waliambukizana kovidi
Kwa hiyo ikawaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa waliambukizana kovidi
Dotto ni yupi?
Deportivo [emoji468][emoji468][emoji468]
Mmm nae mnufaika miaka mitano tu tangu ianzeElimu bure ni shida kweli !! sasa umeandika nini??????
Kwani hawasafiri kwa sasa?Ndio kuumbuka kwa tanzania mbele ya macho ya dunia!
SanaaaUmeeleza habari kienyeji sana
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Noma sana, hapa kila mmoja atakuwa anasikilizia mbona jamaa yangu haji kwenye msiba wangu?
Kumbe jamaa naye anasikilizia hivyo hivyo.
Until we take our final breath they will live in our heart, their love will light our way and their memories will forever be with us. Every step we take, every move we make, every single day and every time we'll be missing you!
R.I.P
Covid 19 ipo na inaua sana!Salaam Wakuu,
View attachment 1677753
John Dotto na Mwanahabari Raphael Waryana mwenye fulana ya blue. Wamepoteza Uhai. Waryana aliyekuwa mtumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni na kiongozi mwandamizi wa timu ya KMC. Alikuwa mwanahabari wa Radio one akiripoti zaidi vipindi vya Nipashe na Mambo Mseto.
Wawili hawa na Marafiki, Wote wawili wamefariki Muhimbili jijini Dar Es Salaam na wawili hawa hakuna anaejua kama mwenzake amefariki.
Dotto alikuwa Mwandishi, Mjasiriamali na Mwanasiasa
Wapumzike mahali pema. Amen!
====
KIONGOZI MWANDAMIZI WA KMC FC AFARIKI DUNIA
Kiongozi Mwandamizi wa Timu ya KMC FC ndugu, Raphael Waryana amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi
Ndugu Waryana atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa ambao alikuwa akiutoa katika Timu ya KMC FC ikiwa ni pamoja na ushirikiano wake katika kipindi ambacho Timu ilipokuwa ikitimiza majukumu yake.
Aidha uongozi umeshtushwa na taarifa hiyo na kuahidi kuendelea kuuenzi mchango wake mkubwa aliokuwa anautoa kwa Timu wakati wa uhai wake.
Uongozi unatoa pole kwa familia yake, mashabiki wa Timu ya KMC FC na Umma wa wanamichezo na kuwaomba wawe na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wetu.
Imetolewa na Christina Mwagala
Afisa Habari na Mahusiano wa Timu ya KMC FC
Ya kweli hayo mkuu? Haya ngoja tusubiri hiyo audio clip.CCM imepoteza JEMBE......Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.
Raphael wariana nilikuwa namsikia sana kweli kwenye MAMBO MSETO...Ngoja niangalie Database yangu kama naweza kupata Audio Clip yake.
Hawa ni marafiki wa kufa, hamna atakaemzika mwenzie.Ukisikia marafiki wa kufa na kuzikana, ndio hawa sasa. R.I.P
Aisee wabeba jeneza shughuli wanayo
Mpaka mtakapokubali hili na kuacha kufuata propaganda za wanaojificha kijijini kila inapochachamaa..! Askofu wa Tanga na Msaidizi wake wamepishana wiki, bado tunaendelea kuimba mapambio Fulani aliyejificha kafukuza "19.Covid 19 ipo na inaua sana!
Hao sio Marafiki wa Kufa na Kuzikana kwa sababu hawatazikana bali ni Marafiki wa Kudumu Hadi Kifo Kitakapowachukua!!Ukisikia marafiki wa kufa na kuzikana, ndio hawa sasa. R.I.P
Mungu atuongoze tupate uelewa.Corona inaua kimya kimya ewe mtanzania usishupaze shingo anza kuvaa barakoa kuanzia sasa