TANZIA Mwanahabari Raphael Waryana na Rafikiye John Dotto wafariki Dunia Muhimbili

Halafu Unasikia mtu amenyanyuka anasema Tanzania ni Salama mbele ya Jukwaa la maelfu ya watu ni bora kukaa kimya.
 
Tuendelee Kula malimau na machungwa kwa wingi,
Sukutua na maji chumvi mara kwa mara,
Piga zoezi ukiweza,
Kunywa chai ya Tengawizi mara kwa mara,
Tumia vidonge vya vitamin C Kuimarisha kinga,
Turejee kanuni za mwanzoni kunawa mara kwa mara,
Matumizi ya Sanitizer na barakoa inapobidi,
Turejee nyuzi za waliopona Covid kupitia matibabu waliyoshauriwa na wataalamu / antibiotics zinazopendekezwa
ni muhimu kuwa nazo nyakati hizi .
Tuepuke mikusanyiko pale inapobidi sio kutwa umesongamana angalau ukishuka kwenye usafiri wa Umma ukajitenge home kwako kuliko kwenda kwenye vigenge na mabaa, mikusanyiko isiyoyalazima tunaweza ipunguza wenyewe...
 
Asa kama wote wamefariki, watajuaje kama mwenzie kafariki?
Atajua kwa kuambiwa kabla hajafariki. Lakini bahati mbaya wamefariki wote kabla ya kila mmoja kupelekewa taarifa ya kifo cha rafikie.
 
Kwani hitilafu ya upumuaji bado inaendelea tu?
 
Corona ipo .
Corona ipo, mlevi anajisemea !
 
Sawasawa................
 
Covid ipo asee, inaondoka na mabonge nyanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…