MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Hii ishu ya huyu kijana ni kuipotezea tu kama wafanyavyo serikali kwani hii ni Ze Comedy isiyokuwa na faida kwa taifa. Mtu kajificha mwenyewe kisha anataka atafutwe, kwa msingi upi?
 
Acha matusi. Kwanini maswali hayo isiyaelekeze kwa mwana-Chadema mwenzenu, Saed Kubenea, ambaye gazeti lake la Mwanahalisi ndio limeandika hayo? Unaibisha? Soma hapa Utata mpya msaidizi wa Mbowe
Kiongozi kama nimekukwaza tusameheane, ni upuuzi kujificha au kufichwa kwa sababu ya political platform,huku kila mtu akisema la kwake.
Kama Ben kajiteka basi anasafari ndefu,halafu gazeti linatuambia habari kamili mpaka jumatatu kulikuwa hamna haja kuja na habari nusu nusu.
Umesahau gazeti la Habari Leo lilivyosema Serikali yamwaga ajira wakati za kuteuliwa,Ngoja tusubiri jumatatu na polisi nao wanaweza kuanzia hapo kama muda wote walishindwa pa kuanzia.
 
daaaah....Unakata mti unatengeneza karatasi then unaandika gazeti la namna hii.....Ni mara mia bora huo mti ungeachwa tumbili waning'inie watalii waje tupate pesa za kigeni......
Nimecheka sana!!!!
 
Ishu ya Ben Saanane inaweza kuwa ni Self imposed exile baada ya kuona hatari fulani ya kukamatwa kwa uchochezi mitandaoni
Kuna baadhi ya mbinu lazima mzifahamu kindakindaki
Kama ni kweli, Sipati picha kwa watokwa povu wa CDM,

Basi ...kama imetoka mwanahalisi ...utajua mkakati uliopo ....

Gazeti na huyo mwanakamati kuu wa Chadema waisaidie polisi ili kuondoa sintofahamu hii.
 
Hii habari inabidi kusoma article kamili. Uzi wako hauleti maana kabisa. Serikali imeshindikana vipi kumkamata?
 
MwanaHalisi ni Gazeti la udaku la masuala ya Kisiasa
ni kweli unachokisema mkuu, kuna mtu humu alishawahi kuwa kuna magazeti anayachukia kiasi kwamba hata akiletewa maandazi yamefungwa ndani ya magazeti hayo hawezi kula hayo maandazi....kila siku nazidi kuiamini hii kauli
 
ben kama alijiteka basi atakuwa amejiua mwenyewe kisiasa
 
Kijana wa kichaga huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…