MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

-->>Atakuwa anacheeka huko alipo
...kwa watu na vikauli vyao vya #bring_ Ben_back./
-->>NAISHA URI SE REKALI ENDAPO ATAKUWA AMETENDA HILI KWA MAKSUDI NI. LAZIMA AWAJIBIKE KWA KUSUMBUA DOLA.
 
Hatutaki propaganda kama anaonekana wanashindwa vipi kumsalimisha police basi hata kumpiga picha wanashindwa vipi
 
Naona kama sirikali wanajua kitu kuhusu alipo Ben!! Napita tu
 
Hili ni pigo na anguko kwa chadema.
 
Hivi mtu akijalibu kujiuwa na akifikishwa mbele sheria si anahukumiwa kwa kujaribu kujiuwa??

Na vipi kwa mtu kama.benn sanane,akijipoteza,my b ikawa akajiteka..sasa akija jitokeza na pia anahukumiwa kwa kujiteka??

Binafsi km.kweli analandalanda mtaan,polisi wamefanya msako hamjapata,mzazi nusura afe kwa bp,tumepoteza muda mwingi jf,fb nk kumjadili...km yupo wima afunzwe adabu

Utani mwingine sio kabisaa
 
aisee vipi Ben chali yangu, unajitokeza kabla hata hatujauza Tshirt fresh
 
Hata Sokoine yasemekana alikuwa akionekana ofisini kwake baada ya kifo chake miaka hiyo tuliadithiwa...

Pia tukaambiwa uzushi kuwa simu ya Kanumba huwa ukipiga inaita tu lakini haipokelewi tuliambiwa kwenye tigo pesa ukituma zinatolewaπŸ˜€
Ww jamaa bhana kavu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah.... Isijekuwa Dr Said naye anahamu ya kukaa ndani.... siku nyingi hajasikika... tokea kaka Paul aongezewe nyota[emoji12] [emoji12]
 

HAHAHAHAHAHAHAHhhhahhhhhaahahah UMETISHA 😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…