MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Tunamtaka tundu Lissu ajibu hili
 
picha p/se ben akiwa mtaani au kwa ndugu
 
Kubenea ni kada na mbunge wa chadema.
Ben Sanane naye ni kada na msaidizi mahsusi wa Mbowe, mwenyekiti wa chadema.

Tushasema tangu enzi za Yeriko kuwa haka kamtindo ka "kujiteka" sio kazuri, kana madhara makubwa.
Tafuteni njia nyingine .
 
Niliwauliza hapa je akitokea na akakiri kuwepo kwenye mikono ya mtandao wa Mbowe je CDM mtasemaje na je bado mtaiamini CDM? KIMYAAAA mpaka sasa.
Kama yule mlinzi wa Dr. Slaa wakati ulr ha ha ha.
 
Ishu ya Ben Saanane inaweza kuwa ni Self imposed exile baada ya kuona hatari fulani ya kukamatwa kwa uchochezi mitandaoni
Nami nimewaza hivi as sijasikia viongozi wake wakuu wakisema chochote kinachoeleweka
 
Hii ina maana Nyumba ya Chadema imegawanyika.
Hadi kuanikana hadharani namna hii ni wazi imani na "loyality" kwa Mbowe imepungua sana.
Tusubiri mtifuano wa haja.
Hili la Ben, naamini viongozi wa Chadema wanalijua kuliko wengi wetu.
 
habari imekaa kimtego tego
kama wanawaandaa watu kwa ajili ya kitu fulani

mhariri lazima ahojiwe kwa vyovyote vile
Wanajiandaa kumtema Ben, kuwa Ben alikuwa anajifanyia yake bila ridhaa ya Chama.
Na lolote litakalompata na madhara yoyote kama yatakuwa yamempata yametokana na matendo zake binafsi.
"Ben has been disavowed".
 
KUBENEA: BEN ANATAFUTA KIKI YA KISIASA, ANATANUA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA NA WASHIKAJI ZAKE TU.

Mwanahabari nguri wa habari za uchunguzi na mhariri mkuu wa gazeti la mwanahalisi bw. Kubenea katika gazeti lake la mwanahalisi online ameandika kuwa ben anaoneka kwenye vijiwe vya kahawa na washikaji zake ila nyumbani na kazini kagoma kwenda.Kubenea anasema ben anatafuta kick ya kisiasa ili ajipatie madaraka kwenye uchaguzi wa ndani ya chama.
Jamani mi simoo…waache wasaka vyeo ndan ya chama wafichuane walipo….hahahahaha………. usikose gazeti la wanahalisi siku ya jumatatu.
 
Duh, kama kweli atakuwa kajishusha sana, na hadhi yake kaikanyagia kwenye mavumbi/ matope mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…