GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
ccm has given rise to obvious underlying problems so far: hired goon party loyalists (machawa) with unchecked powers to intimidate, abduct, torture and murder alleged opponents; corruption and unequal resource sharing; a massive decline of trust in the legal system; single party monopoly which creates election victories rather than people-focused plans for the future.
ccm party is also holding to a decrepit and dysfunctional constitution doesn’t really apply to the 21st century.
Sasa chama tu huwachii madaraka ukipata nchi si utakuwa kama rais wa Cameroon.Kama chadema hawajawahi kushika dola huwezi linganisha na ccm, maana chadema wako kwaajili ya kutafuta, walishajifuza kupitia hawa, nccr-mageuzi, tpl, na cuf, ??
Umeandika kuwafunga kihuru mwezako wa ccm,Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.
Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.
P
Utakuwa unanionea bure, huu ndio utaratibu wa siku zote wa CCM, nimekengeuka vipi?!.Mayalla umekengeuka
Kumbe ni utaratibu siyo sheriaUtakuwa unanionea bure, huu ndio utaratibu wa siku zote wa CCM, nimekengeuka vipi?!.
Kwa vile mimi ni mwanachama na kada wa CCM, ushauri wangu kwa chama changu kuhusu urais wa 2025 uko kwenye mada
P
Kuongoza chama, na kuongoza nchi, ni kitu kiwili tofauti sana, mbowe jambo lakutizama, chama kuwa imara na kushida na kushika dola, kuachia mtu, mwingine chadema, mbowe, yule akiyumba chama kinapotea kabisa, kuliko kuongoza nchi, raisi akiyumba nchi haitapotea.Sasa chama tu huwachii madaraka ukipata nchi si utakuwa kama rais wa Cameroon.
Nikweli nchi ilikuwa gizani kama anavyodai samia yeye ndie kauleta mwanga?Mbowe anaachia lini uwenyekiti?
mxyuuuu[emoji57][emoji57]Hayupo wa kushindana na mama,I wish her all the best
Kibindoni kwa mama!Hiyo dola iko wapi?
Kipindi hiki wataeleweka tu, maana maji yameanza kuingia tope!.ccm kama ukoo wa mafisi... Hawaeleweki!
😆😆😆😆Kumbe ni utaratibu siyo sheria
Nothing lasts longerCCM is not a political party but a union of Tanzania's security apparatuses with a political wing. One would do himself a great favour demystifying this truth.
Mngeanza na wananchi. Waone maji ni yapi na tope ni lipi!Kipindi hiki wataeleweka tu, maana maji yameanza kuingia tope!.
Hili ni gazeti la chadema na hutumika kueneza uzushi.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Kiukweli ile kauli ya Uwashike Wazee nilitafakari sana nikatafuta reference hadi kwenye Biblia, but Mama yetu tuko nae sana tu
Vipi katiba ya chadema inaruhusu kumchallange mwenyekiti au ndo utakuwa ushaonja sumu Kwa kuilamba?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Kama CCM wanataka ya BDP yasijirudie kwao, basi wanapaswa kutuletea mtu "competent" kweli kweli mwenye kukubalika kwa wengi, vinginevyo wataangukia pua!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume