HOJA ya fomu Moja inakosa mashiko sababu ssh yupo hapo alipo sababu ya kifo Cha Magu na Si Sanduku la kura.magufuli likufa akiwa nje ya madaraka?
Vipi chadomo, mpaka mwenyekiti mbowe afie madarakani siyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HOJA ya fomu Moja inakosa mashiko sababu ssh yupo hapo alipo sababu ya kifo Cha Magu na Si Sanduku la kura.magufuli likufa akiwa nje ya madaraka?
Vipi chadomo, mpaka mwenyekiti mbowe afie madarakani siyo?
and a few high caliber thieves of votes, who feel exhalated to share their crime in public 😂 😂 😂 😂 😂CCM is a den of vipers and wolves 😂
magufuli likufa akiwa nje ya madaraka?
Vipi chadomo, mpaka mwenyekiti mbowe afie madarakani siyo?
Kwani mkuu CCM huwa inategemea kura zenu kushinda uchaguzi? Ni mpaka pale vijana wapaka poda wa Tanzania watakapoamka! CCM hata ingeweka jiwe hakika ingeshinda uchaguzi!Kama
Kama CCM wanataka ya BDP yasijirudie kwao, basi wanapaswa kutuletea mtu "competent" kweli kweli mwenye kukubalika kwa wengi, vinginevyo wataangukia pua!
Wananchi wengi kwa sasa ni kama wamekata tamaa ya maisha
Kumbe mpaka leo bado kuna watu hamjui the determinant ya victory kwenye chaguzi za African democracy!。The determinant of victory is not the vote cast but the vote count!, yaani anayeamua mshindi sio kura zilizopigwa, bali ni kura zilizohesabiwa, hivyo anayeamua mshindi ni nani sio mpiga kura, bali mhesababu kura!Basi jua huku pia, ssh akilazimisha kugombea, hatoshinda,
Upinzani utachukua ushindi Kwa mara ya kwanza.
Mavi-Jana ya Tanzania kama maatlaaatila fulani hivi! Yaache yajidanganye!Kumbe mpaka leo bado kuna watu hamjui the determinant ya victory kwenye chaguzi za African democracy!。The determinant of victory is not the vote cast but the vote count!, yaani anayeamua mshindi sio kura zilizopigwa, bali ni kura zilizohesabiwa, hivyo anayeamua mshindi ni nani sio mpiga kura, bali mhesababu kura!
P
duh。。。!Mavi-Jana ya Tanzania kama maatlaaatila fulani hivi! Yaache yajidanganye!
Maneno bila picha ni uzushi. Tupiamo basi hilo gazeti tukuamini😂Alisema na gazeti la Mwananchi lilinukuu labda kama kuna mabadiliko. Nyie ndiyo mnamshinikiza ila Mama yeye anataka apumzike 2025 baada ya kuifanyia mengi Nchi hii na umri wake umeenda anapendelea kupumzika Siasa.
Lipo humu itafute utaona. Wewe huoni umri wa Mama umeenda au mnataka mfaidi mgongoni mwake?Maneno bila picha ni uzushi. Tupiamo basi hilo gazeti tukuamini😂
Ulimsikia mbowe mwenyewe? Ulimsikia Summay? Kama Summaye alisema hivyo kwa sababu anataka kurudi ccm tuMbowe alimuambia Sumaye kinagaubaga😂
Huu ni uzushiLipo humu itafute utaona. Wewe huoni umri wa Mama umeenda au mnataka mfaidi mgongoni mwake?
Ndio alivyokuambia?😁...Kama Summaye alisema hivyo kwa sababu anataka kurudi ccm tu
Ndio alivyoambia jamii wakati anatangazaNdio alivyokuambia?😁
AISEE CHADEMA WANAHANGAIKA WANAPATA SHIDA SANA NA HUYU MAMA WANATAPATAPA KAMA MFA MAJI WANAANZA KUZUSHA UONGO SIJUI KWA FAIDA YA NANI?CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.
Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
YAANI UNASHINDWA KUHANGAIKA NA CHADEMA YAKO ILIYOTAABANI UNAANZA KUWA MSEMAJI WA CCM? KWANI WAKIVURUGANA SI NDIYO FAIDA KWENU AU HAMTAKI KUSHINDA? YAANI WAPUUZI SANA NYIE YAANI USHINDI WENU MPAKA CCM WAVURUGANE? MTAHENYA MWAKA HUUKuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Sasa kama ulimsikia kwa nini unaniuliza?Ndio alivyoambia jamii wakati anatangaza
Kwa sababu ya ujinga wakoSasa kama ulimsikia kwa nini unaniuliza?
Nimekuuliza kwa nini unaniuliza kwa sababu ya upumbavu wako.Kwa sababu ya ujinga wako
Au mambo yamekuwa mabaya kama alivyosema JK.Amalize urithi wake apite hivi