Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TAL sikiliza habari hii!
Hadi siku ya uchaguzi tutaona mengi
 

Attachments

  • 5926866-27c969517f313456671a875bfbd87d9d.mp4
    10.1 MB
Au sio ?

Ngoja atekwe Baba ako ndio useme haya vema

Akili huna
 
Hakuna Serikali itavumilia matusi ambayo Maria Sarungi na vijana wake alina Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti wanaporomosha kwa Serikali. Yaani mkae Nairobi muitukane Tanzania, halafu mnategemea msikamatwe. Huo ni undezi wa hali ya juu
 
Za kweli hizo? Siku hizi fake news zimekuwa nyingi, ngoja tusubiri uthibitisho. Wengine kiki , wengine fake news
 
Sasa hawa wanaharakati na wanasiasa wengine wenye maoni makali wawe na ulinzi wa kufa mtu, saa yoyote wanaweza kutekwa. Yaani kama una ulinzi wa kufa mtu watekaji itabidi wajipange vema la sivyo watachezea kipigo cha kufa mtu, ni hatari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…