milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Formula ndio inasema hivyo ndugu yangu ..Acheni kuzungumzia ubakaji wakuu hawawezi kumbaka na msiombee iwe hivyo kwani ni lazima wambake au nyinyi mnamtamani?
sio sawa ila kama wakimpa na vijinga kwa kadhaa itakuwa nafuuAise
Huyu atajikuta yuko ardhi ya Tanzania
Ova
Hawawezi kwa nini?Acheni kuzungumzia ubakaji wakuu hawawezi kumbaka na msiombee iwe hivyo kwani ni lazima wambake au nyinyi mnamtamani?
Au sio ?Mimi siamini huu uzushi wenu kuwa Tz wanahusika Maria ni Mtoto wa Ccm kalelewa ndani ya Tiss iweje leo muisingizie serikali?
Huyo anahusishwa kuivuruga CDM miaka na miaka iweje leo atekwe na ccm aseme vizuri hapo Kenya kazulumu nini maana hapa tangu enzi za JPM alikuwa anakosoa na hawakuwahi kumkata kwani walishindwa kumfika Mzee Sarungi?
Acheni uzushi Serikali yetu haihusiki yeye anajua alichofanya huko kwa watu kwa akili yako angekuwa anatafutwa na Serikali yetu hata yeye kwa akili ndogo angekubali kwenda kujificha hapo Nairobi?
Huu ni Uzushi.....
Hakuna Serikali itavumilia matusi ambayo Maria Sarungi na vijana wake alina Sativa, Hilda Newton na Tito Magoti wanaporomosha kwa Serikali. Yaani mkae Nairobi muitukane Tanzania, halafu mnategemea msikamatwe. Huo ni undezi wa hali ya juuTAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
Unachukua Tahadhari Mjomba, upo third world country 🤣
Wakenya wamechangamkia fursa! KitamuZa kweli hizo? Siku hizi fake news zimekuwa nyingi, ngoja tusubiri uthibitisho. Wengine kiki , wengine fake news
Mkuu sio kiki kweli hii, kachagua kutrend kipindi cha Mkutano Mkuu wa CCM na uchaguzi wa CHADEMA.Wamalize kazi sasa, hatutaki wahuni katika nchi
Anaupiga Mwingi,!Raisi kashaweka mfumo sasa hivi anawateka hata kutoka kaburini, huelewi wapi?
Lissu hana haja ya kutekwa, unamsukuma aanguke tu mavyuma yanachomokaDuuu Lissu awe makini sana kuna pattern naiona hapa
Tetesi: Anaondoka kesho,kwenda kwao BelgiumDuuu Lissu awe makini sana kuna pattern naiona hapa