Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

Vero alipata anacho stahili. Yaelekea vero alipata hawara mwenye kujiweza.

Kadai talaka akapata, akadai amri ya kuwatunza watoto akapata.
Tena akaja kwenye lindo la jamaa kwa dharau. Risasi akapa. Hongera mjeda hata ukinyongwa, umekufa kishujaa
 
Hata Marekani adhabu ya kifo bado ipo ila wao wamestaarabika kidogo hawanyongi kwa kamba ila wanadunga mtu sindano ya sumu..
 
Hio silaha sio mchezo njugu zake hua zinatembea km hazitembei yaan ukibonyeza tu hizi hapa na speed yake range per distance inapenya hadi upande wa pili
Is All weather assault gun iwe inelowa,matope,barafu,joto Kali, haiwezi kujam, simple and easy to use,is a light machine gun, Hata mtoto wa miaka 12, anatumia
 
Anaweza kuja rais kichaa muda wowote na akasaini. Hili silo jambo la kuamini. BTW mbona nilisikia wakati wa mzee Ruksa kuna walionyongwa?
 
Anaweza kuja rais kichaa muda wowote na akasaini. Hili silo jambo la kuamini. BTW mbona nilisikia wakati wa mzee Ruksa kuna walionyongwa?
Hakuna rais aliewahi kusaini hukumu ya kifo tangu sheria ilipotungwa hadi leo hajanyongwa hata mtu mmoja kwa saini ya rais, km yupo taja hio kesi
 
Hakuna rais aliewahi kusaini hukumu ya kifo tangu sheria ilipotungwa hadi leo hajanyongwa hata mtu mmoja kwa saini ya rais, km yupo taja hio kesi
Mzee mwamwindi yule aliyemuua mkuu wa mkoa wa Iringa Dr kreluu alinyongwa na nyerere
 
Wanawake muwe mnaangalia watu wa
kuwaoa ..kipato ni jambo muhimu lakini mzingatie mtu mwenye utu hata yakiisha
uisha Kwa amani Kuna watu wapo na roho zao ngumu zenye chuki na visasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…