1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
Eee wala sio hio namaanisha 👇rifleBasi nimeshakuelewa unamaanisha kombeo ile Daudi alitumia kumuua Goliati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eee wala sio hio namaanisha 👇rifleBasi nimeshakuelewa unamaanisha kombeo ile Daudi alitumia kumuua Goliati
Haujanielewa kumbe mkuuRifles maanake ni bunduki kwa kiswahili, rifles zipo za aina nyingi tu, hata AK47 ni rifles.
Iyo ni bunduki ama telescope?Eee wala sio hio namaanisha 👇rifleView attachment 2378073
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha ujingaKina jamila kwa umbea ona jamila ungekufa kizembe
Rifle huzionagi wakiwa wamezibeba au? AK47 👇Iyo ni bunduki ama telescope?
Hata Marekani adhabu ya kifo bado ipo ila wao wamestaarabika kidogo hawanyongi kwa kamba ila wanadunga mtu sindano ya sumu..Haipo hadi rais asaini unyongwe
Kwa Tanzania ni kiini macho tu haitekelezwi hakuna rais anaekubari kutia saini ili mtu auwawe kwa kunyongwa, maana tangu itungwe hio sheria mwaka 1989 hadi leo hakuna kiumbe msumbufu alimaarufu km mhalifu alienyongwa
Kwa hio mtu akipewa adhabu ya kunyongwa magereza yana-assume km kapewa adhabu ya kifungo cha maisha
Ukija upande wa haki za binadamu na baadhi ya watu wa masuala ya kisheria husema ni kheri mtu km huyo afanye kazi akiwa kwenye usimamizi uko magereza kuliko kumuua ndio maana hua hawauwawi kwa kunyongwa ila wanafungwa maisha
Nchi zinazotekeleza hizo sheria kwa Africa nchi inayoongoza ni Misri ambapo mpaka watu 150 hunyongwa kwa mwaka kwa makosa tofauti
Nchini nyingine yenye kutekeleza kwa ukali ni kutoka bara la Asia ambayo ni China inasemekana kwa mwaka watu 1000 hunyongwa au hupigwa risasi China km adhabu ya kifo kwa makosa tofauti na kati ya hayo ni kosa la kubeba na kusafirisha Madawa ya Kulevya
Napita..
Mbona iyo inafanana spana za majenereta makubwa migodini?Rifle huzionagi wakiwa wamezibeba au? AK47 👇View attachment 2378077
Is All weather assault gun iwe inelowa,matope,barafu,joto Kali, haiwezi kujam, simple and easy to use,is a light machine gun, Hata mtoto wa miaka 12, anatumiaHio silaha sio mchezo njugu zake hua zinatembea km hazitembei yaan ukibonyeza tu hizi hapa na speed yake range per distance inapenya hadi upande wa pili
Kweli ila kwa mujibu wa takwimu Marekani na Ufaransa wamepunguza adhabu hizoHata marekani adhabu ya kifo bado ipo na wanayonga sana tu
Weeeewe unaleta utaniMbona iyo inafanana spana za majenereta makubwa migodini?
Sileti utani bana. Labda unamaanisha jambiaWeeeewe unaleta utani
SawaSileti utani bana. Labda unamaanisha jambia
Anaweza kuja rais kichaa muda wowote na akasaini. Hili silo jambo la kuamini. BTW mbona nilisikia wakati wa mzee Ruksa kuna walionyongwa?Haipo hadi rais asaini unyongwe
Kwa Tanzania ni kiini macho tu haitekelezwi hakuna rais anaekubari kutia saini ili mtu auwawe kwa kunyongwa, maana tangu itungwe hio sheria mwaka 1989 hadi leo hakuna kiumbe msumbufu alimaarufu km mhalifu alienyongwa
Kwa hio mtu akipewa adhabu ya kunyongwa magereza yana-assume km kapewa adhabu ya kifungo cha maisha
Ukija upande wa haki za binadamu na baadhi ya watu wa masuala ya kisheria husema ni kheri mtu km huyo afanye kazi akiwa kwenye usimamizi uko magereza kuliko kumuua ndio maana hua hawauwawi kwa kunyongwa ila wanafungwa maisha
Nchi zinazotekeleza hizo sheria kwa Africa nchi inayoongoza ni Misri ambapo mpaka watu 150 hunyongwa kwa mwaka kwa makosa tofauti
Nchini nyingine yenye kutekeleza kwa ukali ni kutoka bara la Asia ambayo ni China inasemekana kwa mwaka watu 1000 hunyongwa au hupigwa risasi China km adhabu ya kifo kwa makosa tofauti na kati ya hayo ni kosa la kubeba na kusafirisha Madawa ya Kulevya
Napita..
Hakuna rais aliewahi kusaini hukumu ya kifo tangu sheria ilipotungwa hadi leo hajanyongwa hata mtu mmoja kwa saini ya rais, km yupo taja hio kesiAnaweza kuja rais kichaa muda wowote na akasaini. Hili silo jambo la kuamini. BTW mbona nilisikia wakati wa mzee Ruksa kuna walionyongwa?
Mzee baba na Ruksa wamenyonga.Hakuna rais aliewahi kusaini hukumu ya kifo tangu sheria ilipotungwa hadi leo hajanyongwa hata mtu mmoja kwa saini ya rais, km yupo taja hio kesi
Leta kesi waliyosaini kunyongaMzee baba na Ruksa wamenyonga.
Mzee mwamwindi yule aliyemuua mkuu wa mkoa wa Iringa Dr kreluu alinyongwa na nyerereHakuna rais aliewahi kusaini hukumu ya kifo tangu sheria ilipotungwa hadi leo hajanyongwa hata mtu mmoja kwa saini ya rais, km yupo taja hio kesi
rifle siyo jina la silaha, bali ni aina za silaha.Eee wala sio hio namaanisha [emoji116]rifleView attachment 2378073