Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
🤣🤣🤣🙌Halafu wanawake hizi habari hata huwa hawazisomi wenyewe utakuta wapo kwenye magroup ya umbea uko instagram
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🙌Halafu wanawake hizi habari hata huwa hawazisomi wenyewe utakuta wapo kwenye magroup ya umbea uko instagram
Sidhan km AK47 sio rifles zile za kuwindia wanyama ndio wanazotumia?Si ndio zinazotumika siku zote? 😳
Ha ha ha, Usichokijua usiku wa giza, unasifia kitu kutokana na masimulizi ya watu ambao wamesimuliwa, ila kiuhalisia nao hawaijui hiyo AK47 iko je.Naam umesema bunduki aina ya AK47?
Hiko chuma sio mchezo.. napendekeza polisi wagaiwe hicho chuma kuwawinda panyapanya wasumbufu
Rifles unazijua mkuu?Ha ha ha, Usichokijua usiku wa giza, unasifia kitu kutokana na masimulizi ya watu ambao wamesimuliwa, ila kiuhalisia nao hawaijui hiyo AK47 iko je.
Eti polisi wapewe.
Kwahiyo kwa akili yako police hawana AK47?Naam umesema bunduki aina ya AK47?
Hiko chuma sio mchezo.. napendekeza polisi wagaiwe hicho chuma kuwawinda panyapanya wasumbufu
Rifles unazijua wewe?Kwahiyo kwa akili yako police hawana AK47?
Si goboleRifles unazijua mkuu?
Nijibu swali wakati wewe hujajibu langu, nimekuuliza police hawana AK47?Rifles unazijua wewe?
Jibu swali
Ndio sasa hio ni hunting rifle kuna assault rifle pia ndio wengi ukiwaona huwa wanazibeba sio AK47Si gobole
Sijasema hawana nimesema wapeweNijibu swali wakati wewe hujajibu langu, nimekuuliza police hawana AK47?
Au unamaanisha crossbow?Ndio sasa hio ni hunting rifle kuna assault rifle pia ndio wengi ukiwaona huwa wanazibeba sio AK47
Iko na higher precision [emoji23]Naam umesema bunduki aina ya AK47?
Hiko chuma sio mchezo.. napendekeza polisi wagaiwe hicho chuma kuwawinda panyapanya wasumbufu
Inaweza ikawa ndio hio hio ila mimi naonaga rifles tuAu unamaanisha crossbow?
Huenda labda manatiInaweza ikawa ndio hio hio ila mimi naonaga rifles tu
Wapewe wakati ndo wanazotumia.Sijasema hawana nimesema wapewe
Unaelewa kiswahili lakini mkuu?
Ndio manati ya mzungu ila mimi naonaga rifles tuHuenda labda manati
Rifles unazijua?Wapewe wakati ndo wanazotumia.
Basi nimeshakuelewa unamaanisha kombeo ile Daudi alitumia kumuua GoliatiNdio manati ya mzungu ila mimi naonaga rifles tu
Rifles maanake ni bunduki kwa kiswahili, rifles zipo za aina nyingi tu, hata AK47 ni rifles.Rifles unazijua?