Mwanajeshi ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mtalaka wake na Mwanajeshi

Naam umesema bunduki aina ya AK47?

Hiko chuma sio mchezo.. napendekeza polisi wagaiwe hicho chuma kuwawinda panyapanya wasumbufu
Ha ha ha, Usichokijua usiku wa giza, unasifia kitu kutokana na masimulizi ya watu ambao wamesimuliwa, ila kiuhalisia nao hawaijui hiyo AK47 iko je.
Eti polisi wapewe.
 
Rifles unazijua mkuu?
 
Back
Top Bottom