Sasa mkuu utaenda kujieleza kwa wafanyakazi wenzio kwamba una tatizo fulani na fulani halafu baadae wakikaa bar wanaanza kuhadithiana "ebwanaaee unamjua yule jamaa wa KJ### ebana mke wake analiwa na captain ###" hahahaha ni ngumu sana bora ukashauriwe na watu wa taasisi ingine kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]