Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

Jamani hii ishu ya mza ni mbaya sana.Watu waliteswa ndani ya ofisi ya mtendaji wa kata. Mmoja amekufa .Polisi kirumba wanawalinda waliofanya kosa .habari zingine tuache kwanza

kuna hatua zimechukuliwa.,.hadi hii Leo.?
 
Acheni unafi, huyo Mwanajeshi mmoja alikuwa na uwezo gani wa kuwapiga na kuwatesa watu watano tena watu wazima? aliwakamata VP mpaka akaweza kuwathibiti? walishindwa kukimbia kwa nn? huyo ni uongo, sisi wananchi tunapenda sana kuwalalamikia wanajeshi, sijui hata ni ubaya gani wanatenda. Katika akili ya kawaida tu mtu mmoja anawezaje kuwathibiti watu watano? Kibaya zaidi mtoa maada anaongezea na chunvi kuwa kuna msamalia mwema aliingilia huo ugonvi nae akapigwa, ina maana waliopigwa walikuwa watu sita. km huyo anaedaiwa msamalia mwema yy alipata wapi nafasi ya kukimbia? na je? kwa nn hakutoa taarifa Police? msilete habari zenu za move za Kihidi. Eti mtu mmoja tu anampiga mtu sokoni huku wananchi zaidi ya 1000 wamezunguka kila mmoja anaogopa kuingilia ugonvi. Na kama wananchi walikuwepo walishindwa nn kumpiga huyo mwanajeshi anaeonea watu? nasema acheni unafikii
 
hili sio tatizo la Waziri wa Mambo ya Ndani... limemzidi kimo kwa mbali sana

Hawezi kuamuru wanajeshi wakamatwe, washitakiwe, wafukuzwe, wafungwe

Waziri wa Mambo ya Ndani ni mtu mdogo sana nchi hii, hata yeye anatambua hivyo...

 
Tatizo sio wewe.ni kwa sababu una akili ndogo
 
Baadhi ya watu wanawaonaga wanajeshi kama vile wanauwezo wa ajabu sana,yawezekana hii iliwatisha wakahofia kuingilia.
 
Baadhi ya watu wanawaonaga wanajeshi kama vile wanauwezo wa ajabu sana,yawezekana hii iliwatisha wakahofia kuingilia.
mkuu ukiona sehemu kuna shinda harafu rpc,ocd,ocs anajua.takukuru,ofisi na kamati nzima ya ulinzi na usalama imejua hilo swala,ujue kuna namna nyingine sio story za upande mmoja kama hivi.

hakuna mwanajeshi anayepiga mtu mpaka aue zama hizi labda hamjui mabeyo ni nani,labda kwa masuala mengine ya mapenzi nk,sio wizi.

tatizo ninaloliona hapa tunaendeshwa na chuki ambazo hazieleweki zinatoka wapi?mwanajeshi anapiga watu wanne,mapaka anauna mmoja kwa kosa la wizi wa flat screen ya kichina!!! hata ubakaji hawezi kufanya huo upupu.
 
Hakuna la ajabu hapo...
Anaweza sana maana anaogopwa na anayafanyia mbele ya wanaserikali..
 
Hakuna la ajabu hapo...
Anaweza sana maana anaogopwa na anayafanyia mbele ya wanaserikali..
nani anamuogopa sasa!

wanajeshi wangapi wanafanyiwa visa mtaani mbona hawaui kama ni halali kwao na hakuna kuwajibika!
 
Kwa taarifa yako tukio hili linatokea nilikuwepo hapo ofisini. Na nimeshuhudia kwa macho yangu.Alianza kumpiga kwa gongo kubwa kama mwichi.hata wananchi wameshuhudia usiongee mambo kwa ushabiki tu
 
Kwa taarifa yako tukio hili linatokea nilikuwepo hapo ofisini. Na nimeshuhudia kwa macho yangu.Alianza kumpiga kwa gongo kubwa kama mwichi.hata wananchi wameshuhudia usiongee mambo kwa ushabiki tu
Kama kamati ya ulinzi na usalama kwa nini hawachui hatua kama wanafaham? Hapa kuna tatizo
 
Kibaya zaidi hajaelewa kilichotokea ni kama unapayuka
 
Tukio limetokea la jinai watuhumiwa wamepigwa na kuteswa ndani ya ofisi ya kata ya kahama wilaya ya ilemela. Watuhumiwa wanapigwa na mwanajeshi na migambo wa kata mmoja wa watuhumiwa anafariki.Tukio linatokea mchana kweupe na wananchi wanaona. Polisi inachukua muda gani kupata ukweli? Kwa nini Criminal justice yetu isiwe kama ya wenzetu USA na kadhalika. Mwezi na kitu hamna action yoyote kwa tukio lililotokea ndani ya ofisi ya serikali ? Kweli wizi au unyang'anyi ni kosa lakini zipo taratibu za kushughulika na waliokosa na mahakama ndio chombo cha mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…