Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Wewe kiumbe unaoneana bado uko usingizini. Na bado unafikiri huyo mama yako unayemshabikia ana maisha marefu kwenye nchi yetu ya Tanganyika! Ni suala tu la muda kabla hajakimbilia kwa Wajomba zake, huku akiwaacha yatima nyinyi chawa wake wa Bakwata.
Najua umeangalia movies nyingi zimekudanganya sana ila unachotamani hakitatokea, kwa umri wako miaka 65+ kikitokea unachotamani wakati hata uwezo wa kukimbia mita 100 huna ni wewe ndo utapata shida sasa hilo halitatokea tupo kwaajili ya kuwalinda nyie wazee, wanawake na watoto japokua hamjielewi.
 
Halafu na wanao muunga mkono kipindi hiko wapo wapi?

..ndio hapo sasa.

..hali itakuwa tete huko jeshini.

..hali ya kuaminiana itatoweka.

..lakini jeshini nako itabidi wawekane sawa.

..jeshi letu lina uzoefu wa kupitia changamoto za kisiasa na kuvuka salama.

..hata katika kesi ya uhaini ya 1983 kuna maofisa wa juu wa ngazi ya Jenerali walitajwa kuwa na mahusiano na baadhi ya watuhumiwa.

..kuna baadhi ya watuhumiwa inasemekana walikuwa na mipango ya kuwashirikisha Majenerali fulani fulani.

..pia kama kumbukumbu zangu ziko vizuri kuna Brigedia Jenerali alikwenda kutoa ushahidi kwa upande wa serikali.
 
Ewe Mwenyezi Mungu tunakuomba umlinde mzalendo Captain Tesha dhidi ya maharamia waliko madarakani
Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Uasi mtakatifu
 
Aisee
 
Ni wapi huko?

Hilo "BANGO" halifai kabisa.

Hakuna kupigana risasi hapa.
Hakuna cha kupigana risasi. Waovu wote wanakusanywa na kutupwa ndani wasubiri haki yao mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…