Hawa wenye mitutu ndio pekee anao wategemea Samia. Wanapoanza kutia mashaka hata nyinyi mnaomtegemea Samia kuishi inawawia shida sana kujuwa kama kweli Samia bado atabaki salama!Jiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Nyie askari mbavu za mbwa ..hao wakitia timu tu mkia mnakunjia nyuma ...hamna lolote..kama unafaidika na udhalimu mrinja unaenda katwa...kengeeee weweJiandae kwenda kusikiliza kesi yake ya uhaini ila kwa ulivyo muoga hata mahakamani hautaenda utaendelea kujificha juu ya dari kama unavyofanya kwenye kesi ya lissu
Mzee angekaa mbali na siasa ange jijengea heshima kubwa sana
wajiulishe jina linasema.leo CCM mikund*u inawaza abduli na mama yakeHivi AI inaweza enda LiVE?
Angekuwa wa mchongo Jeshi kupitia msemaji wao wangeshasema kitu
Mondi alitutusi bila woga dahAbdul ni chanzo magari ya kifahari anayo tembelea mondi akatutuksns kmake half wanajeshi mishahara yao ndo hiyo I smell something fishy ata wakitiboa now badae lazima kinuke
Usi deal na mondi deal na amduliMondi alitutusi bila woga dah
Amduli ndio nanUsi deal na mondi deal na amduli
Abdully acha uzitoAmduli ndio nan
Kanywe dawa za kupunguza presha, mwaka huu lazima busha liwashukeHahaha na watanzania walivyo wajinga ukisoma comments wameamini kwamba tesha ni capten jeshi
Binafsi, nitamtemea mate usoni. Inatosha. Mtu wa hovyo kabisa huyu.Kikwete akikamatwa apelekwe uwanja wa Mkapa ili kila mtanzania aruhusiwe kumuadhibu.