Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Hatari nikubwa mbele yake lakini kaamua kufia Nchi yake.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Pascal Mayalla ni kama dodoki tu la Ccm , achana naye huyo atakupasua kichwa bure maana hata kula yake ni ya kujikombakomba kwa watawala
 
Ww ni useless kabisa.

Huna moral authority ya kuhoji uhalali wa Capt. Tesha
 
hakuna mwenye taarifa zake za uhakika, imechapishwaa excel inatambaa mtandaoni haina uthibitisho ni excel ya jwtz kwan ameandikwa jina lake tu, kiufupi ukiwa. upinzani ni rahisi kupelekwa kushoto kulia yaani vile unataka
Asilimia 98 ya jeshi linapingana samia na ccm ya sasa
 
Hatari nikubwa mbele yake lakini kaamua kufia Nchi yake.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Siyo kweli samia atoboi hatari kwa samia ni kubwa mara 50 kuliko hatari kwa huyo mwanajeshi
 
VIELELEZO VYA MAKOSA KWENYE VIDEO YA MTU ANAYEJIITA CAPT TESHA .


1. Baji ya jeshi la anga/kamandi ya anga [airforce] iliyowekwa kwenye kofia ya Tesha sio ya kamandi husika imewekwa baji ya Nemba ya jeshi la ardhi kwenye kofia ya jeshi la anga.

2. Vyeo alivyopachika bwana Tesha vipo kwenye kigae cha jeshi la ardhi huko kofia yake ni ile ya jeshi la anga ,haiwezekani askari/afsa avae vyeo ya jeshi anga vyeo vya mfumo wa jeshi la ardhi.

3.Shingo ya sweta ya Bwana tesha imetokeza na kufunika taya ,askari za JWTZ hawavai namna hiyo ni kosa shingo ya sweta kutokezea na kuwa kuonekna.

4.Mkunjo wa kofia ya mangi Tesha ni kielelezo kingine muhimu kuwa ni too fake hakuna mkunjo wa namna ile capt anashindwa kuvaa kofia

5.Kujiumauma na wasiwasi wa kile anacho sema (body language ) ya mtu mwoga asiye amini anachosema

6.Midevu bwana tesha majukumu aliyosema yupo nayo sio special duty hivyo alipaswa kuwa kamili kwenye mwonekano wa usafi hasa kunyoa ndevu

7.Kujikosoa mwenyewe ipo kama alikuwa anafundishwa na mtu asome nini kwa vimemo huku akikosea mara kwa mara

8. Anasisisitiza kuwa ni msimamo wake pekee sio jumuishi [Act alone, accoutamble alone] kitu cha kutilia shaka hakuna mapinduzi ya man alone

9. Woga ,macho ya bwana tesha yanaonesha mtu mwoga na asiye na uhakika wa anachokisema hasa akisema haogopi kufa ni woga mkubwa kutangaza kutoogopa inatafsiriwa ndio woga wenyewe.

10.Jeshi au kikundi cha kijeshi huwa hakitangazi mapinduzi kama ombi kama kuwataka watu wajiandae na kifuatacho ,Bwana tesha anasema anatishia kuja tena kusema kama oda yake haitafanyiwa kazi ,hakuna tishio la mapinduzi kabla ya mapinduzi kutokea uchochoroni kama alivyofanya mangi Tesha.

USSR
 
CPT, kasema wafungwe wasikimbie nchi... na orodha ni hii .
1. Rais Mstaafu Jakawa Kikwete
2. Rosta Azizi
3. Angel Kiziga
4. Abdul ( Mtoto wa Muheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu)
5. Mombo ( Mkurugenzi TISS )

Wapelekewe alipo Lissu hawa kwa wafungwa walio hukumiwa kunyongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…