Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Amemsahau Samia kwenye hii list yake. Tunaomba akija tena aje na list kamili.
 
Hakika mkuu
 
Vipi hoja alizozingumzia unakubaliana nazo?
Hii nchi unaiona ipo katika hali gani kwa sasa?
 
Naipataje hii video yote? Nimejaribu download inagoma
 
Maxence Melo mimi kama mkata swichi wa tisiaraei naomba ufute huu uzi maramoja. Uzi unaleta taharuki kwa watawala na familia zao unawanyima usingizi pia.
 
Wewe ngumbaru usichokijua ni kuwa hiyo beji ni utambulisho wa kamandi ila kwenye kofia inakaa ya kawaida…pumbavu
 
Nyie kina USSR, Lucas Mwashambwa, Stuxnet na wenzenu huko mna roho ngumu kwelikweli...

Mnatafuta kila upenyo kujitetea na kutetea uchafu na uovu wa bwana zenu...

Hakika mtakufa na tai zenu shingoni...

Acheni kiburi. Tubuni na kurudi njia kuu. Hakuna cha kujitetea mpaka hatua hii...

Hata angekuja na nguo za kiraia na akajitambulisha kuwa afisa wa JWTZ, tungemwelewa so long as anaongea lugha yetu, lugha ya wananchi...

Ninyi na upumbavu wenu, na kiburi chenu ni lazima mngehoji pia kuwa "askari gani huyo asiyevaa kijeshi.."

Rudini njia kuu au kubalini kuja kula vitanzi..!!
 
Naona tushapata watalaamu wa Video - ma video analysis Kibao kila mmoja anakuja na la kwake. Kweli Tesha kamwaga upupu bandani

Kama ni video FEKI mbona mnahaha hapakaliki Lumumba - Kamati kuu mnakutana lini?

Afu muelewe Cpt. Tesha ni mtu Mwalimu wa shule ya Urubani... so msikurupuke si mtu mwepesi.
 
 
CCM mtachanganyikiwa safari hii. Na hii ndo inazidi kuonesha ni kwa namna gani nyie ni washenzi na msio na akili. Mnategemea kuishi kwa uongo ba propaganda ili kuwarubuni Wananchi.

Video ni ya kweli. Muhusika ni Mwanajeshi kweli aliye kweli kazini na ukweli ni kwamba sasahivi vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa Jeshi vimewachoka na ondokeni Madarakani tuachieni Nchi yetu tuijenge upya.
 
Jeshi lenye hadi sasa hawajaizungumzia hiyo video au kumzungumzia huyo jamaa, maelezo waliyotoa bado yameendelea kubakisha maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…