Uliziishi wapi wewe ndezi acha kujifanya ujuaji mwingi mamaezako wewe ulishawahi kukuhukumiwa hata mara moja huko court marshal? StupidNaongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Inategemea kama huyo Rais ni chaguo la wananchi, na anafuata kiapo chake cha kuheshimu sheria na katibaNaongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Bado yuko liveWatamuuwa au mpk Sasa ameshauwawa
Ngoja nipige salute kwa Captain Tesha mara moja kisha nakuja siku ile nadhani tutakua nae barabarani tunaandamana woote wapige risasisasaAmeshasema anajua madhara ya anachokifanya, tumuombee na kuwa nyuma yake...wengi wetu tumeichoka ccm.
Kwahiyo yeye hazijui kabisa kabisa kabisa mkuu?Naongelea sheria za kijeshi ambazo niliziishi, siongelei emotions, kama wamemtuma probably watamlinda! How? Wanajua wenyewe, but kwa NDA na regulations zake kwa mwanajeshi tena afisa kumpinga rais hadharani ni uasi!
Superburg mtu wangu.Sidhani kama yupo tz watamuuwa.
Yeah nahisi poa katumwa na wakubwa zake huko Jeshini..na wenda wamedhamiria. Sidhani kama amekurupukaMkuu ukishindwa kuelewa kuwa huyu katumwa tu basi mkuu tukuache hivihivi!!
Mange alipost mjeda akisema hawamkubali mama leo kainuka MJEDA LIVE TENA MCHANA KWEUPE amesema bado unasema jamaa atahukumiwa? sahau
Noma kinoma oya nasubiria kusikia kazuiliwa ikulu kwanzaa na uchaguzi usimamishwe mpaka wananchi watakapoamua vinginevyoYeah nahisi poa katumwa na wakubwa zake huko Jeshini..na wenda wamedhamiria. Sidhani kama amekurupuka
Kwahiyo yeye hazijui kabisa kabisa kabisa mkuu?
We kenge mkaldayo rudi nyumbani ukomboe nchi yako mbusiii wewe acha kujificha huko kwenye mibarafuMijitu kama Chris Lukos na bidhaa zake chakavu watakoma.