Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Umepuyanga Rais analindwa na TISS, yule mwanajeshi anayeongozana na Rais ni mpambe wa Rais
Mpambe umesikia wanaenda kufanya kitchen party? Asiejua maana haambiwi maana endelea kukaririshwa hivyo hivyo

Hivi unajua hata kirefu cha TISS na unajua hao maofisa wa TISS wanatokea wapi au unafikiri wanapeana teuzi za mikoa DED sijui DC na RC unafikiri ni hivyo wanateuliwa km wenezi na makatibu?
 

Huyo Dereva ni mpumbavu. Safi kabisa
 
Tunasubiri kwa hamu taarifa za kuchukuliwa hatua. Watu kama hao hawafai kuwa katika hii kazi inayohitaji nidhamu ya hali ya juu na kuwa mfano kwa raia. Shame upon him!
 
Wenye vyeo vya mabegani huwa hawana shida shida inaaza kwa ma private na wenye vyeo vya mikononi tatizo sana
 
Heshima Utu ni kila mmoja anahitaji haijalishi wewe ni combatant au Civilian
Huyo PTE hajaiva kwanza askari hatakiwi kujaa nyembe
HATUFAI
"Hatutai" acha kujipa mamlaka hakufai wewe kama nani?
 
Hao Wanaume wengine kwny gari wanafanya nini hapo?
 
Daah huyu mjeda anahatarisha maisha ya watu aisee haoni kama ataemda kusababisha ajali yaani gari Inatembea unampga dereva hivi😭😭
Nimejikuta nalia aisee inaumiza😭😭
Huu ni uvunjifu wa sheria, huyu unaweza kumshitaki hata kituo cha polisi.
 
Wato wote hapo mmeshindwa kumzuia mtu mmoja anaehatarisha maisha ya zaidi ya watu 10+?

Mbona watu wanajilegeza sana ase?
 
Umepuyanga
 
Kuna mmoja alimpiga dereva wa basi la SARATOGA kwa sababu ame mu overtake eneo Hilo Hilo la kibaha, jamaa ni majinga sana
 
Hivi wanajeshi mkiwa kwenye mafunzo huwa mna amrishwa kwamba ni lazima muwe na roho hizo?
 
Wabongo nao tumekuwa legelege sana. Huyo mwanajeshi ni hayo magwanda tu, hana lolote. Huyu dawa yake ni kujibu mapigo, umpige mpaka ajinyee halafu aende kuita wenzake kama ilivyo kawaida yao.
tuna nidhamu ya uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…