Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Hii ni Tanzania pekeee kuna huu ujinga Kenya hutakaa usikie Wanajeshi wawapiga Raia, ni kwa sababu ya uzezeta wetu
 
Hao watu wapelekwe Congo DRC
 
Na wakaja kulalama humu?,why mtu mmoja wanashindwa kufanya push back?abiria 15 na wanaume ndani wanashindwa na raia mmoja mwenye uniform!!,kenges
Ni ujinga, raia wa hii nchi wamezidi kuwa makondoo kazi kulalamika tu. Mtu anapojichukulia sheria mkononi, azuiwe na akifanya fujo apigwe tu. Kuwa mwanajeshi hakukufanyi uwe juu ya kila mtu, wakipigwa hawa watakuwa na adabu.
 


Hao abiria ni wapumbavu nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…