Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Hizi akili za kijeda hizi. Nani aliyekuambia kosa moja huondolewa kwa kufanya kosa lingine? Kwamba kwa sababu dereva wa daladala alikosea then inampa askari haki ya kufanya kosa la kushambulia na kudhuru mwili?Naendelea kumtafuta huyo mjeda (askari wa JWTZ) aliyefanya hivyo ili nimpe zawadi ya soda tamu, kwa sasa nchini Tanzania ya supa commando na nawaomba na wanajeshi wengine waige mfano wake kwa madereva daladala wakorofi, wahuni na wenye dharau wa maeneo mengine nchini.