TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

Loh, poleni sana jamani!
 
RIP mwana JF. Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu.
 
Nilistuka nilipopata taarifa za Msiba wa dada yetu huyu.

Niseme tu, Poleni wafiwa, sote.

Hakika, tupo mapitoni tu hapa Duniani.

Amani iwatawale WanaJF wote, kwani hatujui muda ama saa pale mauti itakapotufikia.

Tuombe muumba awapatie nguvu familia yake na yetu JF kwa msiba huu.

Lala kwa Amani Dada😭
 
R.I.P dada yetu..

tuwe na lugha nyepesi humu kwenye kuchangia nyuzi mbalimbali.... kumbe alikuwa ni mama wa heshima zake kabisa..poleni wanandugu.😖
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…