Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na akili zako timamu una amini Yesu ni Mungu?Na Si Kila mtu haamini masuala ya Mungu Mmoja mwenye Jina YESU KRISTO.
Amin
Andika vizuripole kwa damilia Mungu ampumzishe mahali panapostahili
Apumzike kwa AmaniKwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanajamiiforums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu
Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko hivyo atatujuza zaidi
Mara ya mwisho kabla ya kurejea nchini alikuwa Lebanon Beirut ambapo mumewe ni mwambata wa ubalozi kule.. Mumewe si raia wa Tanzania
Mazishi ni kesho mjini Bukoba ambako ndiko asili yake
Nilimfahamu mwaka 2017 hapa JF na baadae nje ya JF.. Alikuwa ni mama mwenye upendo mkuu ushauri mwanana asiye na majivuno na aliyekuwa anaisaidia bila kubagua
Hakuwa mshiriki sana kwa maana ya kuandika lakini alikuwa msomaji mzuri sana wa karibia kila kilichokuwa kikiandikwa hapa
Alikuwa dada na rafiki mwema kwangu. Nitamkumbuka daima
Kwa ruhusa maalum naweka picha yake ya msibani hapa.
Pumzika kwa amani dada yangu niah 😪
View attachment 3115403
nisaidieAndika vizuri
Ikiwa unaamini Yupo Mungu Mmoja Mbinguni na hujui kuwa Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu,Na akilo zako timamu una amini Yesu ni Mungu?
Hahahaha...ila jf ni hatariWakati wa uhai wake kuna dogo humu alimtokea😀