TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

Ikiwa unaamini Yupo Mungu Mmoja Mbinguni na hujui kuwa Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu,

Unaamini usichokijua. Ninakuombea uijue Kweli ikuweke huru.

Amin
Punguza upofu wa akili wewe,usijione wewe ndio bora kuliko wengine,

Yesu mwenyewe anasema yeye sio Mungu,ila wewe mlokole wa huko Liwale unamwambia yeye ni Mungu!

YOHANA 5:36

Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe,mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba,nayo hukumu yangu ni ya haki,nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe bali apendavyo yule aliyenituma.

Hivi Mungu anaweza kutumwa?
 
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

BIBLIA huijui, karibu darasani, keti chini Kisha ukubali kufundishwa uelewe!!
 
Alijaaliwa utajiri wa mali, hekima, upendo ushauri na hakuwa mtu wa kujikweza hata mara moja
Hakika kwa sababu sikuwa hata na mazoea naye jukwaani before; Mungu alimtuma tu kwangu kunivusha katika kipindi kile kigumu. Kwa hakika ukipata nafasi ya kutenda wema kwa mtu, just do it. Bila kujali kama mnafahamiana au laah. Huwezi jua utabadili vipi maisha ya huyo mtu.

Na alikuwa akikupenda na kukuheshimu sana kaka yake. Najua kifo chake kimekugusa mnoo; pole sana bro
 
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanajamiiforums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu

Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko hivyo atatujuza zaidi
Mara ya mwisho kabla ya kurejea nchini alikuwa Lebanon Beirut ambapo mumewe ni mwambata wa ubalozi kule.. Mumewe si raia wa Tanzania

Mazishi ni kesho mjini Bukoba ambako ndiko asili yake
Nilimfahamu mwaka 2017 hapa JF na baadae nje ya JF.. Alikuwa ni mama mwenye upendo mkuu ushauri mwanana asiye na majivuno na aliyekuwa anaisaidia bila kubagua

Hakuwa mshiriki sana kwa maana ya kuandika lakini alikuwa msomaji mzuri sana wa karibia kila kilichokuwa kikiandikwa hapa

Alikuwa dada na rafiki mwema kwangu. Nitamkumbuka daima

Kwa ruhusa maalum naweka picha yake ya msibani hapa.

Pumzika kwa amani dada yangu niah 😪

View attachment 3115403
Alikuwa Mrembo kweli
 
Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

BIBLIA huijui, karibu darasani, keti chini Kisha ukubali kufundishwa uelewe!!
Mimi nakupa andiko wewe unaleta porojo za kilokole hapa!

Tutolee udini wa kijinga hapa,huu ni uzi wa msiba,hizo pigo zako wapelekee walokole wenzako huko,usiharibu huu uzi.
 
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanajamiiforums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu

Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko hivyo atatujuza zaidi
Mara ya mwisho kabla ya kurejea nchini alikuwa Lebanon Beirut ambapo mumewe ni mwambata wa ubalozi kule.. Mumewe si raia wa Tanzania

Mazishi ni kesho mjini Bukoba ambako ndiko asili yake
Nilimfahamu mwaka 2017 hapa JF na baadae nje ya JF.. Alikuwa ni mama mwenye upendo mkuu ushauri mwanana asiye na majivuno na aliyekuwa anaisaidia bila kubagua

Hakuwa mshiriki sana kwa maana ya kuandika lakini alikuwa msomaji mzuri sana wa karibia kila kilichokuwa kikiandikwa hapa

Alikuwa dada na rafiki mwema kwangu. Nitamkumbuka daima

Kwa ruhusa maalum naweka picha yake ya msibani hapa.

Pumzika kwa amani dada yangu niah 😪

View attachment 3115403
Kumbe alikuwa mkweli, alijinasibu kuwa yeye ni bibi.

Tangulia bibi
 
Rip dida masham sham💔🥺
Ni misiba imeambatana ila haihusiani kabisa
IMG-20241004-WA0143.jpg
 
Back
Top Bottom