TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

Mimi nakupa andiko wewe unaleta porojo za kilokole hapa!

Tutolee udini wa kijinga hapa,huu ni uzi wa msiba,hizo pigo zako wapelekee walokole wenzako huko,usiharibu huu uzi.
Umenipa andiko usilolijua!!

Unamjua YESU wewe?

Baba wa Yesu kimwili ni nani?

Kaburi lake li wapi?

Mabaki ya mifupa yake je?

Yesu Yu wapi sasa, Yu kaburini kama Mudi?
 
Dah huyu mama jamani,nimemkumbuka sana kipindi kile kwenye jukwaa letu la MAKAPUKU tulikuwa tunachat nae sana uandishi wake ulinitia wasiwasi na kuona huyu ni mtu mzima na asiyejua kiswahili kwa ufasaha, mpaka tulikuwa tunamuita bibi,...kumbe yote yalikuwa ni kweli,RIP
 
Apumzike kwa amani!!
 
Apumzike kwa amani mama yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…