Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Kwanini Allah abaki pekeyake, huoni huo ni ubaguzi dhidi ya Binadamu?
Kaka ungetiya nakapichaNinayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.
Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Hii kitu naikataa sana, hakuna cha watu wazuri wala wabaya wote tunasepa tu muda ukiwadia.Why good peoples never live longer Rip
Jina la bwana lihimidiwe.Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.